- Thread starter
- #81
Siko interested na sexmate i just need a friend, its possible to have a friend wa jinsi tofauti sema watz mnaendekeza sana ngono,thanx kwa views zako bt sex is not my priority for now
Unachokitaka kiko practically impossible! A male friend so close......! Unatoka nae wk moja baada ya nyingine! Hakuna r/ship za hivyo! You can only stay like that with your sister or brother!!
Sema unachotakiwa kukifanya!! Which I understand ni kwamba you definitely need a male companion. Something which can work ni kuweka hivo vigezo mbele kabisa Kwamba I we need to know each other! Mutual understanding leads to mutual respect which leads to Love!
Vinginevyo hao wanaume wote walioku PM wanataka kukugegeda tu! Utawatambua kwa matendo yao!