Natafuta mbwa wa kufuga Mwanza (wakienyeji)

Natafuta mbwa wa kufuga Mwanza (wakienyeji)

Aseee katika maeneo yenye mbwa waliozagaa hovyo ni Mwanza, mara ya kwanza nilipoenda niliona kundi la mbwa kama 20 hivi, mwanzo nilidhani labda ni mbuzi, ile kucheki vizuri ni mijibwa tupu
wawalete wahehe watamaliza hao mbwa
 
kama hajisaidii mazingira ya nyumbani, maana yake huwa anazurura.

anyway, yuko vizuri
Mbwa n vile ulvyomzoesha kama mbwa anaweza kunya hata kwenye ngaz hata angekua german shephad uyo n hajielw, mbwa onatakiwa akifunguliwa kabla ya kwenda kula hata kama chakula kipo mbele yake akimbie mpaka engle anayotakiw kukojoa au ku pu ndio arud kula
 
Mkuu hapo mwanza niliishi miaka ya 2019, aseee hivi hao mbwa wanaozurura mitaani wanatoka wapi? Alafu hata hawang'ati, nilkuwa na akili za kitoto skufkiria hata kuchunguza wenyeji kuhusu hilo
Wee kadadaa, mwaka 2019 ulikuwa na akili za kitoto?
 
boss, ongea vzr nikuachie huyu. anaitwa maxi, ni jibwa kweli kweli. kibaka hakatizi!
IMG_20240415_161503_506.jpg
 
Nipo mwanza mjini natafuta mbwa
Bei iwe kitonga aisee sitaki mbwa wa kizungu.

Rangi: Nyeusi itapendeza zaidi
Tabia: Mkali sana
Bei: Isizidi elf 20
Subiri Sky wangu akizaa ntagugawia mmja, alipandana na shepherd yeye ni mswahili wa huko Tangaaaaaaaaaaa.
 
Back
Top Bottom