scolastika
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,863
- 5,719
Watoto wa maskini ndo wanaenda afya na ualimuNdio kinachowacost , kutafuta heshima. MD wa Tanzania haheshimiki, labda uwe very exceptional Sana. Na wengine ni average Joes kama wewe ila wanaipenda sana hiyo course. Utateseka sana. Ela ipo kwenye tech. Heshima uwe na ela bana. Eti MD alafu unazidiwa pesa na auditor au financial manager we unakuwa nani?
Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app