Natafuta mchongo wa Medical Doctor (MD)

Watoto wa maskini ndo wanaenda afya na ualimu

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Huko TRA mpaka upate hiyo kazi unafikiri mchezo? Huyo daktari kazi atapata tu asiwe na wasiwasi. Na kuna wengine wanapata kazi mashirika ya umma mfano NHIF na wanapata mishahara mikubwa sana kuliko walioajiriwa na wizara ya afya.

Kimsingi kazi za kuajiriwa siyo rahisi kuwa tajiri, utaishia kuwa mtu wa kipato cha kati
 
Halafu watu hawafikirii, ajira mishahara midogo ukianza, ukija kupandishwa cheo baada ya miaka mitatu, mshahara unakuwa mnono zaidi, ukikaa miaka 10 kazini unakuwa umepandishwa cheo mara tatu, take home yako inakuwa kubwa mno.
Kuna watu take home zao kwa sasa ni karibia milioni mbili, na taaluma zao ni hizi hizi mnazozidharau
 
Kubwa uyaone acha kudanganyana , madaktari wenzie kibao hawana ajira.
 
Sema to be honest hawa madaktari wa kuanzia miaka ya 2020 aisee Mungu atusaidie tena sana watanzania ambao kipato chetu papatupapatu...Tena hawa wanaoanzia CO ndio chenga balaaa.
Sio hao walioanzia CO ndio angalau?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…