Ndio graduates wa leo hawa, vyeti vikubwa..skills hakuna+professionalism sifuri.Mkuu, nilikupa kazi unayoomba huku, kabla hata ya kuanza kazi yenyewe ukaingia mitini. Sasa umerudi kuomba kazi tena?
Ujue utaratibu wa hivi husababisha watu wenye shida serious wasisaidiwe kwa hofu kuwa hakuna userious. Usiombe kitu kama hauko serious na unachoomba maana unawaharibia na wenzako wenye uhitaji serious waonekane ndio wale wale tu na wapuuzwe.
Kumbuka Messi ni muajiriwa piaPesaa haipo popote kwa njia ya kuajiriwa ukitaka mapesa jiajir, Mimi sio MD
Ndio ujue swala la ajira ni swala la kitaifa 🤣🤣🤣MD anatafuta kazi...? Dah kazi ipo
Sio kweli, wale wanatumia kipaji, na ndo mana ubora ukipungua kwenye kipaj husika lazima muhusika apoteane...., Ni vitu viwili pekee vinatajirisha watu 1.BIASHARAKumbuka Messi ni muajiriwa pia
Mi nawajua mandezi kibao wenye division 3 leo eti ni madaktari, Tanzania takataka kweli.Huyo utakuta alitaka kusoma udaktari, akafeli, kwasababu wanachukua waliofaulu sana, wanataka division one kali, ndomaana inamuuma ana hasira na kuonea wivu madaktari.
Mtu mwenye akili timamu hawezi akadharau kazi za watu kiasi hicho.
Wala, mi mastaa, nina division 1 kali sana ni vile tumejificha kwenye ma id haya, wewe ndio unaonekana unapenda sana udaktari na nina hakika wewe shuleni sio ata mzuri.We utakuwa ulitaka kusomea udaktari ukapata maksi ndogo, hicho unachofanya ni psychological defense
Migodini wanalipa scale ndefu sana?Jamaa akipata kazi mgodini Kama dokta sio mwenzetu kabisa
Division III hawezi kuwa daktari..?Mi nawajua mandezi kibao wenye division 3 leo eti ni madaktari, Tanzania takataka kweli.
Kwa sasa hivi hawez, zamani walikuw wanaingia...ila kwa sasa labda azunguke kuanza na uclinical officerDivision III hawezi kuwa daktari..?
Wapo, ndio wana tu misdiagnose kila sikuKwa sasa hivi hawez, zamani walikuw wanaingia...ila kwa sasa labda azunguke kuanza na uclinical officer
Utasahau Kama haupo bongoMigodini wanalipa scale ndefu sana?
Kwa guideline ya TCU kwa sasa huwez kuingia kutoka form 6 kwenda kusoma MD ukiwa na Div 3...zamani walikuwepo ndio ila sio kwa sasa unless upitie Diploma na Div 3 yako then uje uingie MDWapo, ndio wana tu misdiagnose kila siku
Scale yao inarange kuanzia ngapi?Yes!!
Utasahau Kama haupo bongo
Mkuu elewa utajisahau kuwa huko. Kwanza scale tu za migodini ziko juu na kwa wewe daktari ndio usiseme.Scale yao inarange kuanzia ngapi?
Huyo hajui anazungumza nini achana naye, huwezi kusoma udaktari Tanzania una division 3Kwa guideline ya TCU kwa sasa huwez kuingia kutoka form 6 kwenda kusoma MD ukiwa na Div 3...zamani walikuwepo ndio ila sio kwa sasa unless upitie Diploma na Div 3 yako then uje uingie MD
Toa huo uhakika kuwa shuleni siyo mzuri, unanifahamu? Kwanza una ushahidi gani kuwa nilisoma?Wala, mi mastaa, nina division 1 kali sana ni vile tumejificha kwenye ma id haya, wewe ndio unaonekana unapenda sana udaktari na nina hakika wewe shuleni sio ata mzuri.
NACTE wanataka uwe na D4 ujiunge na kozi za afya ya physics,chemistry,biology na D ya somo lolote isipokuwa dini mtu anaweza akawa na four ya 30 akaenda kusomea udaktari na akawamzuri, utakuta waliopata one na two wanabaki kushangaa tuMi nawajua mandezi kibao wenye division 3 leo eti ni madaktari, Tanzania takataka kweli.
Tofautisha Daktari ( Bachelor of Doctor of Medicine) na Tabibu ( Clinical Officer- diploma) usichanganye mambo hapa. Tukiongelea Daktari tunaongelea mtu wa Degree , sio watu wa Nacte huko matabibu.NACTE wanataka uwe na D4 ya physics,chemistry,biology na D ya somo lolote isipokuwa dini mtu anaweza akawa na four ya 30 akaenda kusomea udaktari na akawamzuri, utakuta waliopata one na two wanabaki kushangaa tu
labda huelewi kwamba CO anawezakuja kuwa MD kwa vigezo nilivyo vitajaTofautisha Daktari ( Bachelor of Doctor of Medicine) na Tabibu ( Clinical Officer- diploma) usichanganye mambo hapa. Tukiongelea Daktari tunaongelea mtu wa Degree , sio watu wa Nacte huko matabibu.