Islam Mbahu
Member
- Jan 26, 2020
- 7
- 0
asante Kaka yan ile comment ya kwanza iliyonikosoa imenifanya niangalie sms yang mala mbili mbili aisee sijakosea ata sjui Alikua ananikosoa nn yan 😆Kwa kuandika tu upo vizuri hakuna hata moja umekosea. Hongera na hii ni moja ya vitu vinaonesha utimamu (smartness) ya mtu kiakili na kimwili.
La pili nasikia vijana wanahamasishana kukataa ndoa, ila wachache wanapinga hamasa hiyo. Naamini utampata.
Kwa unadishi wako, upo vizuri. Mengine sijui atayajua mtayeoana nae
😂😂😂 ni hatari sanaDuniani wawili wawili🤣🤣
Tit for tat! Hanu hanuKheyri au sio[emoji2955]
Kama herufi tu unazichanganya Naomba uniahidi Kama nikikuoa hautanichanganya na wanaume wengineHonest nna tatizo la kuchanganya R na l ... kikubwa si umeelewa ... ila iyo Christo yako umeongopa angalia ya kwangu ipo sawa kabisaaa
Sikai njiro ila huwa napita na gari yangu Aina ya BMW black x5Ah shoga angu ukimpata nipasie mmoja
Me nataka anaekaa Njiro tu
🤣🤣
Mipaka gani tena jamaniUrafiki wenu umevuka mipaka nitamwagiza malaika aukague🤣
Zile ZERO za Form 4 zimeanza kutafuta nafuu ya maisha mitandaoni.Mimi ni Msichana mwenye miaka 26, mkazi wa Dar es Salaam Lakini kwa sasa nipo Arusha kikazi.
Natafuta mwanaume ambaye yuko tayari kutulia na kuianza safari ya ndoa.
Vigezo awe anajishugulisha na kazi yoyote awe Mkristo, kabila lolote, umri wowote , Asiwe na Mtoto.
Karibuni
Mimi ni Msichana mwenye miaka 26, mkazi wa Dar es Salaam Lakini kwa sasa nipo Arusha kikazi.

Uko so honest! DahHonest nna tatizo la kuchanganya R na l ... kikubwa si umeelewa ... ila iyo Christo yako umeongopa angalia ya kwangu ipo sawa kabisaaa
Usiruhusu mtu akuharibie siku wala kukuhamisha kwa malengo yako.asante Kaka yan ile comment ya kwanza iliyonikosoa imenifanya niangalie sms yang mala mbili mbili aisee sijakosea ata sjui Alikua ananikosoa nn yan 😆
😙 sawaaUsiruhusu mtu akuharibie siku wala kukuhamisha kwa malengo yako.