Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katafute mwanamke WA vicoba mkuu
Mambo ya win-win sichueshon!Kaza sana mzee baba.Unyonyaji uishe nchi hii!😂😂😂Habari wadau.
Natafuta mchumba wa kike tukielewana awe mke.
Masharti ni awe na asset net worth 150m.
Age awe 32 kushuka chini. Asizidi 32.
Nimesema asset awe nazo sababu sitaki mnyonyaji.. mahusiano ama ndoa iwe na win win pande zote.
Binafsi ninamiliki asset net worth 300m. Sasa mtu ambaye hata nusu yangu hana naona atakuwa mnyonyaji..
Uzuri ama urembo sio kigezo kwangu mradi mbususu uwepo tu. Ila net worth hiyo na age ni lazima..
Wanawake wa siku hizi wanaolewa sana kimkakati.. na sisi wanaume tumewashtukia tunaenda nao kimkakati.
Mtu ambaye hana hata nusu ya net worth uliyenayo mwanaume naona kabisa ni mnyonyaji. Mahusiano yanapaswa yawe na win win pande zote.
Mbususu kila mwanamke anao.. haupaswi kuwa kigezo muhimu kuliko mpunga
Boss hatuna hiyo hela ndio mana tumepiga kimya. Wenye nazo wanakuja kuwa na subira.Wachumba wanyonyaji wale wadada wa tuma na ya kutolea wamekimbia uzi wana pita kimya kimya
Yes, kama sie hapa tupo vizuri ila kwa huyu mshikaji simtaki hata kwa dawa i need someone who understands me nitampata tu popote na atakuwepo somewhereTsh 300G ni utajiri wa kawaida kwa sasa. Vijana wengi wanamiliki tena zaidi ya huo na tupo nao kijiweni tunakunywa kahawa, kucheza bao na kutongoza ke kama kawaida.
1. Mshkaji anamiliki viwanja center vyenye thamani ya m200. Madalali kila siku wanahangaika kumshawishi auze ila kaamua kukodishia watu kama yard na jingine ni parking ya kulaza daladala . Kwa siku anakunja 200k akiwa amekaa.
2. Mwingine kaachiwa urithi karibu 1.2bn na anaendeleza poa tuu na demu wake ambaye hana hata 50G.
3. Dogo kapewa fungu lake : nyumba mbezi beach na sinza. Ya mbezi anakuja kodi toka medical sem fronteira ya 1,000USD kwa mwezi na yupo cool tuu.
4. Mashamba Hekari (siyo ekari) 100 hapo moro worth more than 400 plus several agricultural machineries, kaoa graduate hana hata mia,
5. Tulikuwa naye mgodini akapiga jiwe yenye pesa ya laana mererani . Anasimama kwenye 2bn kwenye real estate na yupo na mkewe ambaye wala hakuwa na m1 na ana run poa tuu.
6. Mende 4 kijiweni plus nyumba mbili na tunakaa juu ya gogo la mnazi kijiweni na pisi yake alianza nayo inamiliki tuu mbususu ila ikaratibu vyema biashara za jamaa na waliachana wala hakudai hata nauli. Jamaa akaoa gold digger anayemiliki kama 50G na wakashindwana demu akadai apewe nyumba kisa ana kichanga .
Hivyo punguza mchecheto kijana, tafuta mwanamke ambaye yupo bright upstairs na siyo anayemiliki walau nusu ya utajiri wako
Mwache watakuja matapeli watamdangisha hichi kipesa atakuja lia humu na barua ndefu yakujiuaMtu amejiunga JF since 2011 unakuwa na doubt ya networth hyo😲 ukiwa na lodge mbili tuu tayar ushaifikia
Net worth 300m afu uhangaike kutafuta mke huku JF.?? wajinga ndio waliwaoooo. Mtu mwenye pesa km hiyo lazima ana marafiki wa kike na kiume ambao wote wapo stable financiallyHabari wadau.
Natafuta mchumba wa kike tukielewana awe mke.
Masharti ni awe na asset net worth 150m.
Age awe 32 kushuka chini. Asizidi 32.
Nimesema asset awe nazo sababu sitaki mnyonyaji.. mahusiano ama ndoa iwe na win win pande zote.
Binafsi ninamiliki asset net worth 300m. Sasa mtu ambaye hata nusu yangu hana naona atakuwa mnyonyaji..
Uzuri ama urembo sio kigezo kwangu mradi mbususu uwepo tu. Ila net worth hiyo na age ni lazima..
Wanawake wa siku hizi wanaolewa sana kimkakati.. na sisi wanaume tumewashtukia tunaenda nao kimkakati.
Mtu ambaye hana hata nusu ya net worth uliyenayo mwanaume naona kabisa ni mnyonyaji. Mahusiano yanapaswa yawe na win win pande zote.
Mbususu kila mwanamke anao.. haupaswi kuwa kigezo muhimu kuliko mpunga
Ukiliwa hela kisiasa zaidi usije ukalia huku na barua ndefu endelea kujinadi humu na pafahamu vizuri300m net worth sio tajiri wa kuandikwa forbes. Hiyo 300m ni mafao ya mbunge ya miaka mitano tu.
Unashangaa nini mtu kuwa na net worth hiyo.. na huku vijana wa siku hizi tunazaliwa na wazazi wafanyakazi, wanasiasa etc ambao wanaturithisha mali zao pindi wanapofariki. Na pia tunaanza kazi ama biashara mapema.
Forbes sio wapumbavu wakuandike kisa una net worth hiyo.
Binafsi ninayo net worth hiyo. Ila mtu ambaye hana hata nusu yangu sitaki kabisa anisogeleee.. mwendo ni win win tu
Net worth 300m afu uhangaike kutafuta mke huku JF.?? wajinga ndio waliwaoooo. Mtu mwenye pesa km hiyo lazima ana marafiki wa kike na kiume ambao wote wapo stable financially
Net worth 300m afu uhangaike kutafuta mke huku JF.?? wajinga ndio waliwaoooo. Mtu mwenye pesa km hiyo lazima ana marafiki wa kike na kiume ambao wote wapo stable financially
Ukiliwa hela kisiasa zaidi usije ukalia huku na barua ndefu endelea kujinadi humu na pafahamu vizuri
Nashangaa haijanijia akilini hilo wazoUkiliwa hela kisiasa zaidi usije ukalia huku na barua ndefu endelea kujinadi humu na pafahamu vizuri
Ukiliwa hela kisiasa zaidi usije ukalia huku na barua ndefu endelea kujinadi humu na pafahamu vizuri
Yes, kama sie hapa tupo vizuri ila kwa huyu mshikaji simtaki hata kwa dawa i need someone who understands me nitampata tu popote na atakuwepo somewhere
Sawa sawa bossMaisha hayana formula. Na mchumba anapatikana popote.
Mambo ya win-win sichueshon!Kaza sana mzee baba.Unyonyaji uishe nchi hii!😂😂😂
Mnamshambulia bure mleta mada, ila kuna kitu amemaanisha na ni cha msingi sana. Watu mna vigezo lukuki vya kutafuta wenza ukimuuliza we una nini utabaki kucheka tu.
Hasa wanawake sisi ni tatizo sana. Kila mtu anadeserve anachofanana nacho au anachokaribiana nacho.