MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Mkuu, nakubaliana na wewe 100% wakati wenu msikubali kupe au chawa. Ukiwa na mwanamke mtegemezi ata drain resources zako na kuku pull kwenye umasikini. SIMAMIA HII IDEA YAKO NZURI NA BORANinaamini umeenda shule ndio maana upo humu.
Net worth haimaanishi pesa zipo cash
Wakisema mo dewji ana net worth ya 1 trilioni.. haina maana kwamba anazo hizo pesa cash ama bank. Bali ni thamani ya rasilimali zake ukitoa madeni anayodaiwa.
Mimi kusema awe na net worth ya 150m sijamaanisha awe na hizo pesa cash. Bali awe na rasilimali zenye hiyo thamani kuprove anajua kutunza pesa na mali. Sio aje kujifunzia kwangu.
Nataka mahusiano yenye win win pande zote sio mimi ni loose yeye a win kwa kutumia asset zangu. Ama yeye aloose mimi ni win. Nataka wote tufaidike na mahusiano ama ndoa na kuleta kizazi kilichonyooka. Sio mambo ya kuuana ili mtu arithi mali. Kila mtu awe hana njaaa
Kumiliki mali ama pesa ni kipimo cha akili. Hapo namaanisha nahitaji akili yake maana atakuwa anajua jinsi ya kutafuta pesa na kukuza pesa.
Kwa kukomaza idea yako soma uzi huu hapa chini:
80% ya Wanawake Tanzania ni 'omba omba'
Wasalaam wana JF Naomba niwasilishe utafiti wangu uchwara kuhusu hawa watu. Ni reflection ya ukweli. Katika jitihada za serikali kupunguza umasikini na kuondoa omba omba hili kundi haliangaliwi, yaani wanawake na akina dada. Wana njaa kali na wanajitoa muhanga kwenye front zote. Wako...