grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 3,943
- 5,550
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe unaingiza ngapi ukiwa umelala ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe unaingiza ngapi ukiwa umelala ?
Hii chai kunywa mwenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] , anyhow tu assume ni kweli so unakubaliana na standard za huyo binti halafu za jamaa unakuja na toxic replies ?? Wanawake mtaacha lini double standards?Sio binti yangu couse sijampita kivile ni mdogo wangu siwezi kumzaa ila yes anataka akukute hufanyi kitu aisee .
1. Asubuhi unamwamsha mke wako nakuwaambia wafanyakazi wamuandalie breakfast.
2. Anakupa kadi ambayo unaweza kufanya shoppinga nakwenda saloon kujiweka sawa anakupa kadi ya kwenda mazoezi kuweka mwili sawa.
3. Kila baada ya miezi sita mnapima afya.
4. Mchana utakula mwenyewe ila ijioni kabla hawajapika chakula chake unamwambia anataka kula nini .
Unawaambia wapike akija unamkaribisha home anaoga basi mnakula cha ijioni halafu unatoa fulsa ya kumridhisha mnalala.
Hapendi kelele chumbani hata ya simu .
So pawe kimya .
Ukimiss kelele nenda chumba ch atv ni bullet proof basi .
Ila baada ya kumridhisha .
So ndio hivyoo hutaki tambaa .
Huyu ana hasira na mtoa mada ndo akaja na hizi hadithi za chekechea [emoji23][emoji23]Sasa umeandika nn
Huyu ana hasira na mtoa mada ndo akaja na hizi hadithi za chekechea [emoji23][emoji23]
Nmefurah kuona ukiwa na ID ya zaman unakua tajiri..
Nilinde afya yangu mie mpaka 2035 niwe bado jf niwe Tajiriii
nilitegemea kwamba comments zingekuwa za wadada tu, ambapo kila mmoja angetaja net worth yake na kama kuna ambao hawajafika nusu ya jamaa basi ningeona wakiomba punguzo ila naona sivyo😁
Mbona jamaa Hana utajiri wowote mkuu sema wewe umepata mental pains so ukajaribu kukwepesha hayo maumivu kwa kumfanyia justification kuwa Hana kitu ajidharau ili upate ahueni ya ubongo wako.unataka utishie jamii na wakuwaze matajiri hawajisemi ona binti mmbichi kama yule hat forbes hajulikani
Huwa wanategemea mbusss kuishi yaani anazeeka Ila bado analazimisha arudi ujanani na huku wajukuu zake na mabinti zake wako road tayariMadem wa bongo wangukuwa na hizo net worth mbona tz ingekuwa nchi tajiri sana mkuu, Chanzo cha umasikini Af ni ...... kama huamini chunguza
Nipo huku Dodoma nakung’utwa vumbi tuYes, kama sie hapa tupo vizuri ila kwa huyu mshikaji simtaki hata kwa dawa i need someone who understands me nitampata tu popote na atakuwepo somewhere
Maelezo mazuriNazani amemaanisha ni ngumu mtu kuongopa kwa ID ya zamani. Maana post zake za zamani zitamuumbua
Hizo neti wesi zenu Una uhakika zitasimama hivyo hivyo miaka yote?
Aiseeeee JF is never boring[emoji38][emoji38]
Kila ka kheri mkuu
Afterall maisha ni kuchagua
Aiseeeee JF is never boring[emoji38][emoji38]
Kila la kheri mkuu