Natafuta mchumba awe mke. Masharti awe na asset net worth 150m

UUk
Habari wadau.

Natafuta mchumba wa kike tukielewana awe mke.

Masharti ni awe na asset net worth 150m.

Age awe 32 kushuka chini. Asizidi 32.

Nimesema asset awe nazo sababu sitaki mnyonyaji.. mahusiano ama ndoa iwe na win win pande zote.

Binafsi ninamiliki asset net worth 300m. Sasa mtu ambaye hata nusu yangu hana naona atakuwa mnyonyaji..

Uzuri ama urembo sio kigezo kwangu mradi mbususu uwepo tu. Ila net worth hiyo na age ni lazima..

Wanawake wa siku hizi wanaolewa sana kimkakati.. na sisi wanaume tumewashtukia tunaenda nao kimkakati.

Mtu ambaye hana hata nusu ya net worth uliyenayo mwanaume naona kabisa ni mnyonyaji. Mahusiano yanapaswa yawe na win win pande zote.

Mbususu kila mwanamke anao.. haupaswi kuwa kigezo muhimu kuliko mpunga
Ukipata lete mrejesho,ulipata tupiamo mrejesho kwa jukwaa😂
 
Njaa tuu ndio zinawatesa, kila mtu ana vigezo vyake, mwingine Dini, mwingine Sura, Mwingine Tako, Mwingine Rangi, Mwingine Umbo, Mwingine Elimu, Mwingine Kabila,

Sasa mtu kaja na kigezo chake Mijitu inamshambulia,
Wanaume wasio na Pesa na wanawake wanaopenda kuhongwa wamejiwa na hasira za Nyati.
Nyie si muendeleeni kufanya biashara yenu.
Rubish
 
Mnamshambulia bure mleta mada, ila kuna kitu amemaanisha na ni cha msingi sana. Watu mna vigezo lukuki vya kutafuta wenza ukimuuliza we una nini utabaki kucheka tu.

Hasa wanawake sisi ni tatizo sana. Kila mtu anadeserve anachofanana nacho au anachokaribiana nacho.
Big Up
 
Ndugu unatafuta mke au unatafuta wa kukulea? Wanaume hatunaga masharti ya hivyo, hayo mambo ya kike ili ajihakikishie usalama kwenye nyanja ya uchumi.
Habari wadau.

Natafuta mchumba wa kike tukielewana awe mke.

Masharti ni awe na asset net worth 150m.

Age awe 32 kushuka chini. Asizidi 32.

Nimesema asset awe nazo sababu sitaki mnyonyaji.. mahusiano ama ndoa iwe na win win pande zote.

Binafsi ninamiliki asset net worth 300m. Sasa mtu ambaye hata nusu yangu hana naona atakuwa mnyonyaji..

Uzuri ama urembo sio kigezo kwangu mradi mbususu uwepo tu. Ila net worth hiyo na age ni lazima..

Wanawake wa siku hizi wanaolewa sana kimkakati.. na sisi wanaume tumewashtukia tunaenda nao kimkakati.

Mtu ambaye hana hata nusu ya net worth uliyenayo mwanaume naona kabisa ni mnyonyaji. Mahusiano yanapaswa yawe na win win pande zote.

Mbususu kila mwanamke anao.. haupaswi kuwa kigezo muhimu kuliko mpunga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • Screenshot_20230929-174829_Gallery.jpg
    Screenshot_20230929-174829_Gallery.jpg
    26.5 KB · Views: 8
Vipi ulifanikiwa kupata mwenye hiyo Net worth? If not punguza sharti kidogo tupo wenye Net worth ya 1.5M , hivi mali za mwanamke ni za nini kwenye maamuzi ya mahusiano? Hutaki utegemezi ama? Unajua sharti mlilopewa na Mungu la kula kwa jasho?
 
Kumiliki mali ni kipimo cha akili

Experience yake ya kumiliki mali na kuzoea kushika / kusimamia pesa ndio naitaka.

Pia ni kipimo tosha kwamba huyo mwanamke anatoka familia yenye akili.

Familia nyingi sana Africa zinapenda utegemezi kwa jina la ndoa ya mtoto wao
 
Wewe upo sure una nert worth ml 300.
Au unatuzingua wewe .
Sikia kipenzi naweza kukupa binti 26 years ni mmalawi ana nertworth ml 500 zakwao na ml 2.1 dola hajionyeshi anamiliki kampuni tatu za utalii hapa Tanzania.

Ila anataka mume asiwe anaenda kazini awe kama mama nyumbani kumpokea kuhakikisha amekula . Ameoga umempa huduma zote kama mwenza wake kila mwezi anakulipa laki 5 kama asante ya kila mwezi .

Sikia ndugu unatuchora huna hela unataka utishie jamii na wakuwaze matajiri hawajisemi ona binti mmbichi kama yule hat forbes hajulikani ila katulia anakula mema ya nchi wewe sema unatafuta mke mwenye akili atumie hela kwa akili sio afute kama mchwa .
Aisee
 
Hizo neti wesi zenu Una uhakika zitasimama hivyo hivyo miaka yote?

Ili zisimame hivi hivi miaka yote lazima wawepo watu wenye akili za kuzisimamia..

Ndio maana wanatafutwa wenye akili
 
Wewe upo sure una nert worth ml 300.
Au unatuzingua wewe .
Sikia kipenzi naweza kukupa binti 26 years ni mmalawi ana nertworth ml 500 zakwao na ml 2.1 dola hajionyeshi anamiliki kampuni tatu za utalii hapa Tanzania.

Ila anataka mume asiwe anaenda kazini awe kama mama nyumbani kumpokea kuhakikisha amekula . Ameoga umempa huduma zote kama mwenza wake kila mwezi anakulipa laki 5 kama asante ya kila mwezi .

Sikia ndugu unatuchora huna hela unataka utishie jamii na wakuwaze matajiri hawajisemi ona binti mmbichi kama yule hat forbes hajulikani ila katulia anakula mema ya nchi wewe sema unatafuta mke mwenye akili atumie hela kwa akili sio afute kama mchwa .
😂 Naagiza ukamatwe mara moja kichwa wewe😅😅
 
Kama una networth 300M na huna mke umtakaye basi una mikosi! Unawatisha watu na ki m300 kisicho weza kukupa furaha ya maisha!
Si bora ungekuwa huna tu mkuu
 
Mleta mada nakukumbusha tu kuwa sifa kuu ya ke ni :-
CHAKO CHAKE, CHAKE CHAKE
 
Habari wadau.

Natafuta mchumba wa kike tukielewana awe mke.

Masharti ni awe na asset net worth 150m.

Age awe 32 kushuka chini. Asizidi 32.

Nimesema asset awe nazo sababu sitaki mnyonyaji.. mahusiano ama ndoa iwe na win win pande zote.

Binafsi ninamiliki asset net worth 300m. Sasa mtu ambaye hata nusu yangu hana naona atakuwa mnyonyaji..

Uzuri ama urembo sio kigezo kwangu mradi mbususu uwepo tu. Ila net worth hiyo na age ni lazima..

Wanawake wa siku hizi wanaolewa sana kimkakati.. na sisi wanaume tumewashtukia tunaenda nao kimkakati.

Mtu ambaye hana hata nusu ya net worth uliyenayo mwanaume naona kabisa ni mnyonyaji. Mahusiano yanapaswa yawe na win win pande zote.

Mbususu kila mwanamke anao.. haupaswi kuwa kigezo muhimu kuliko mpunga

We una nn
 
Back
Top Bottom