Natafuta mchumba awe mke. Masharti awe na asset net worth 150m

Natafuta mchumba awe mke. Masharti awe na asset net worth 150m

Wewe upo sure una nert worth ml 300.
Au unatuzingua wewe .
Sikia kipenzi naweza kukupa binti 26 years ni mmalawi ana nertworth ml 500 zakwao na ml 2.1 dola hajionyeshi anamiliki kampuni tatu za utalii hapa tz.
Ila anataka mume asiwe anaenda kazini awe kama mama nyumbani kumpokea kuhakikisha amekula . Ameoga umempa huduma zote kama mwenza wake kila mwezi anakulipa laki 5 kama asante ya kila mwezi .

Sikia ndugu unatuchora huna hela unataka utishie jamii na wakuwaze matajiri hawajisemi ona binti mmbichi kama yule hat forbes hajulikani ila katulia anakula mema ya nchi wewe sema unatafuta mke mwenye akili atumie hela kwa akili sio afute kama mchwa .
Hebu nipe huyo binti.
 
Mnamshambulia bure mleta mada, ila kuna kitu amemaanisha na ni cha msingi sana. Watu mna vigezo lukuki vya kutafuta wenza ukimuuliza we una nini utabaki kucheka tu.

Hasa wanawake sisi ni tatizo sana. Kila mtu anadeserve anachofanana nacho au anachokaribiana nacho.
@binti kiziwi hivi umeolewa??

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Hata kama ni kweli unanet worth 300, ila kibongo bongo mwanamke mwenye net worth more than 100 then akiwa single hawezi kubabaika na mwanaume wa aina yoyote, coz anauwezo wa kujisimamia mwenyewe kwa kila kitu.

NB: Mwanamke mwenye net worth 150 nakuendelea hawezi kuhitaji mwanaume aliejuu zaid yake.

Weka akilini hilo dogo.
Nakazia.
 
Mtu amejiunga JF since 2011 unakuwa na doubt ya networth hyo[emoji44] ukiwa na lodge mbili tuu tayar ushaifikia
Kigezo cha kujiunga Jf Ndo kipimo cha utajiri? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habari wadau.

Natafuta mchumba wa kike tukielewana awe mke.

Masharti ni awe na asset net worth 150m.

Age awe 32 kushuka chini. Asizidi 32.

Nimesema asset awe nazo sababu sitaki mnyonyaji.. mahusiano ama ndoa iwe na win win pande zote.

Binafsi ninamiliki asset net worth 300m. Sasa mtu ambaye hata nusu yangu hana naona atakuwa mnyonyaji..

Uzuri ama urembo sio kigezo kwangu mradi mbususu uwepo tu. Ila net worth hiyo na age ni lazima..

Wanawake wa siku hizi wanaolewa sana kimkakati.. na sisi wanaume tumewashtukia tunaenda nao kimkakati.

Mtu ambaye hana hata nusu ya net worth uliyenayo mwanaume naona kabisa ni mnyonyaji. Mahusiano yanapaswa yawe na win win pande zote.

Mbususu kila mwanamke anao.. haupaswi kuwa kigezo muhimu kuliko mpunga
Marioo..!!
 
Kigezo cha kujiunga Jf Ndo kipimo cha utajiri? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sidhani kama net worth ya 300m ni level za kuitwa tajiri. Hiyo hela ni ndogo sana ambayo tajiri analipia watoto wake watatu ada zao tu za vyuo majuu ama IST kwa mwaka mmoja tu.

Mtu mwenye hiyo 300m net worth ni mtu wa kipato cha kati ila sio tajiri
 
Una madharau
 
Tsh 300G ni utajiri wa kawaida kwa sasa. Vijana wengi wanamiliki tena zaidi ya huo na tupo nao kijiweni tunakunywa kahawa, kucheza bao na kutongoza ke kama kawaida.
1. Mshkaji anamiliki viwanja center vyenye thamani ya m200. Madalali kila siku wanahangaika kumshawishi auze ila kaamua kukodishia watu kama yard na jingine ni parking ya kulaza daladala . Kwa siku anakunja 200k akiwa amekaa.
2. Mwingine kaachiwa urithi karibu 1.2bn na anaendeleza poa tuu na demu wake ambaye hana hata 50G.
3. Dogo kapewa fungu lake : nyumba mbezi beach na sinza. Ya mbezi anakuja kodi toka medical sem fronteira ya 1,000USD kwa mwezi na yupo cool tuu.
4. Mashamba Hekari (siyo ekari) 100 hapo moro worth more than 400 plus several agricultural machineries, kaoa graduate hana hata mia,
5. Tulikuwa naye mgodini akapiga jiwe yenye pesa ya laana mererani . Anasimama kwenye 2bn kwenye real estate na yupo na mkewe ambaye wala hakuwa na m1 na ana run poa tuu.
6. Mende 4 kijiweni plus nyumba mbili na tunakaa juu ya gogo la mnazi kijiweni na pisi yake alianza nayo inamiliki tuu mbususu ila ikaratibu vyema biashara za jamaa na waliachana wala hakudai hata nauli. Jamaa akaoa gold digger anayemiliki kama 50G na wakashindwana demu akadai apewe nyumba kisa ana kichanga .
Hivyo punguza mchecheto kijana, tafuta mwanamke ambaye yupo bright upstairs na siyo anayemiliki walau nusu ya utajiri wako
Wewe unaingiza ngapi ukiwa umelala ?
 
Hata kama ni kweli unanet worth 300, ila kibongo bongo mwanamke mwenye net worth more than 100 then akiwa single hawezi kubabaika na mwanaume wa aina yoyote, coz anauwezo wa kujisimamia mwenyewe kwa kila kitu.

NB: Mwanamke mwenye net worth 150 nakuendelea hawezi kuhitaji mwanaume aliejuu zaid yake.

Weka akilini hilo dogo.
Na aiweke akilin kweli, wapo wenye viimtaji 10m Tu na wanasumbua mjin ndiyo awe m150 aolewe kweli,
Aache kwenda kufanyiwa masag na midume miwili.
 
Habari wadau.

Natafuta mchumba wa kike tukielewana awe mke.

Masharti ni awe na asset net worth 150m.

Age awe 32 kushuka chini. Asizidi 32.

Nimesema asset awe nazo sababu sitaki mnyonyaji.. mahusiano ama ndoa iwe na win win pande zote.

Binafsi ninamiliki asset net worth 300m. Sasa mtu ambaye hata nusu yangu hana naona atakuwa mnyonyaji..

Uzuri ama urembo sio kigezo kwangu mradi mbususu uwepo tu. Ila net worth hiyo na age ni lazima..

Wanawake wa siku hizi wanaolewa sana kimkakati.. na sisi wanaume tumewashtukia tunaenda nao kimkakati.

Mtu ambaye hana hata nusu ya net worth uliyenayo mwanaume naona kabisa ni mnyonyaji. Mahusiano yanapaswa yawe na win win pande zote.

Mbususu kila mwanamke anao.. haupaswi kuwa kigezo muhimu kuliko mpunga
Kwa ufupi wewe hutaki mke.
 
Sidhani kama net worth ya 300m ni level za kuitwa tajiri. Hiyo hela ni ndogo sana ambayo tajiri analipia watoto wake watatu ada zao tu za vyuo majuu ama IST kwa mwaka mmoja tu.

Mtu mwenye hiyo 300m net worth ni mtu wa kipato cha kati ila sio tajiri
Tena hiyo 300m unaweza kuta una kamjengo na kagari kako na vibiashara vyako vidogovidogo tu,lakini watu wanakuogopa humu!![emoji1][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Sio mbaya wengine tushaoa na kipato cha mwenza huwa chake wala usihitaji kujua kinatumikaje wewe ukiwa na changamoto fanya kumuazima
 
Back
Top Bottom