Natafuta mchumba awe mke. Masharti awe na asset net worth 150m

Mambo ya win-win sichueshon!Kaza sana mzee baba.Unyonyaji uishe nchi hii!😂😂😂
 
Wachumba wanyonyaji wale wadada wa tuma na ya kutolea wamekimbia uzi wana pita kimya kimya
Boss hatuna hiyo hela ndio mana tumepiga kimya. Wenye nazo wanakuja kuwa na subira.
 
Yes, kama sie hapa tupo vizuri ila kwa huyu mshikaji simtaki hata kwa dawa i need someone who understands me nitampata tu popote na atakuwepo somewhere
 
Mtu amejiunga JF since 2011 unakuwa na doubt ya networth hyo😲 ukiwa na lodge mbili tuu tayar ushaifikia
Mwache watakuja matapeli watamdangisha hichi kipesa atakuja lia humu na barua ndefu yakujiua
 
Net worth 300m afu uhangaike kutafuta mke huku JF.?? wajinga ndio waliwaoooo. Mtu mwenye pesa km hiyo lazima ana marafiki wa kike na kiume ambao wote wapo stable financially
 
Ukiliwa hela kisiasa zaidi usije ukalia huku na barua ndefu endelea kujinadi humu na pafahamu vizuri
 
Net worth 300m afu uhangaike kutafuta mke huku JF.?? wajinga ndio waliwaoooo. Mtu mwenye pesa km hiyo lazima ana marafiki wa kike na kiume ambao wote wapo stable financially

Maisha hayana formula. Na mchumba anapatikana popote.
 
Net worth 300m afu uhangaike kutafuta mke huku JF.?? wajinga ndio waliwaoooo. Mtu mwenye pesa km hiyo lazima ana marafiki wa kike na kiume ambao wote wapo stable financially
Ukiliwa hela kisiasa zaidi usije ukalia huku na barua ndefu endelea kujinadi humu na pafahamu vizuri
Ukiliwa hela kisiasa zaidi usije ukalia huku na barua ndefu endelea kujinadi humu na pafahamu vizuri
Nashangaa haijanijia akilini hilo wazo
 
Ukiliwa hela kisiasa zaidi usije ukalia huku na barua ndefu endelea kujinadi humu na pafahamu vizuri

Ninaamini umeenda shule ndio maana upo humu.

Net worth haimaanishi pesa zipo cash

Wakisema mo dewji ana net worth ya 1 trilioni.. haina maana kwamba anazo hizo pesa cash ama bank. Bali ni thamani ya rasilimali zake ukitoa madeni anayodaiwa.

Mimi kusema awe na net worth ya 150m sijamaanisha awe na hizo pesa cash. Bali awe na rasilimali zenye hiyo thamani kuprove anajua kutunza pesa na mali. Sio aje kujifunzia kwangu.

Nataka mahusiano yenye win win pande zote sio mimi ni loose yeye a win kwa kutumia asset zangu. Ama yeye aloose mimi ni win. Nataka wote tufaidike na mahusiano ama ndoa na kuleta kizazi kilichonyooka. Sio mambo ya kuuana ili mtu arithi mali. Kila mtu awe hana njaaa

Kumiliki mali ama pesa ni kipimo cha akili. Hapo namaanisha nahitaji akili yake maana atakuwa anajua jinsi ya kutafuta pesa na kukuza pesa.
 
Yes, kama sie hapa tupo vizuri ila kwa huyu mshikaji simtaki hata kwa dawa i need someone who understands me nitampata tu popote na atakuwepo somewhere

Maisha hatufanani choice. Na wanawake hampendi wanaume wakweli mnapenda waongo waongo. Kwa ushauri wangu. Sio lazima unitake mimi hata kwa wengine tumia akili kuwa kwenye mahusiano na mtu. Wanaume walengaji sana siku hizi. Wanachuna sana wadada. Hasa wadada wenye urithi mkubwaa ama kazi nzuri wanawindwa sana na ma mario wa mjini

Ukweli Kama una hiyo net worth ama zaidi nakushauri utafute aliyekuzidi ama mpo sawa. Ili usije ukafaidisha watu wajinga in the name of love. Watakuja ma Mario na kukupeti petii kwa malavidavi mwisho wa siku wanakunyonyaa then wana kudump

Sio wanaume sio wanawake dunia imechafuka sana. Linda utajiri wako uliopewa na Mungu kwa akili kubwa.

Pili mwanamke mwenye hiyo net worth ni rahisi sana kujenga naye maisha maana majukumu ya ndugu zake anayafanya mwenyewe na hata mimi mwanaume majukumu ya ndugu zangu nayafanya mwenyewe.. sio unatembea na mtu anakuletea shida za ukoo wake wote zitatuliwe kwa pesa alizozikuta kwako. Mwisho wa siku anakurudisha nyuma kwa kukufilisi
 
Mnamshambulia bure mleta mada, ila kuna kitu amemaanisha na ni cha msingi sana. Watu mna vigezo lukuki vya kutafuta wenza ukimuuliza we una nini utabaki kucheka tu.

Hasa wanawake sisi ni tatizo sana. Kila mtu anadeserve anachofanana nacho au anachokaribiana nacho.
 
Asante kwa kunielewa. Pesa ni kipimo cha akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…