Natafuta mchumba awe mke. Masharti awe na asset net worth 150m

UUk
Ukipata lete mrejesho,ulipata tupiamo mrejesho kwa jukwaa๐Ÿ˜‚
 
Njaa tuu ndio zinawatesa, kila mtu ana vigezo vyake, mwingine Dini, mwingine Sura, Mwingine Tako, Mwingine Rangi, Mwingine Umbo, Mwingine Elimu, Mwingine Kabila,

Sasa mtu kaja na kigezo chake Mijitu inamshambulia,
Wanaume wasio na Pesa na wanawake wanaopenda kuhongwa wamejiwa na hasira za Nyati.
Nyie si muendeleeni kufanya biashara yenu.
Rubish
 
Big Up
 
Ndugu unatafuta mke au unatafuta wa kukulea? Wanaume hatunaga masharti ya hivyo, hayo mambo ya kike ili ajihakikishie usalama kwenye nyanja ya uchumi.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi ulifanikiwa kupata mwenye hiyo Net worth? If not punguza sharti kidogo tupo wenye Net worth ya 1.5M , hivi mali za mwanamke ni za nini kwenye maamuzi ya mahusiano? Hutaki utegemezi ama? Unajua sharti mlilopewa na Mungu la kula kwa jasho?
 
Vipi ulifanikiwa kupata mwenye hiyo Net worth? If not punguza sharti kidogo tupo wenye Net worth ya 1.5M , hivi mali za mwanamke ni za nini kwenye maamuzi ya mahusiano? Hutaki utegemezi ama? Unajua sharti mlilopewa na Mungu la kula kwa jasho?

Kumiliki mali ni kipimo cha akili

Experience yake ya kumiliki mali na kuzoea kushika / kusimamia pesa ndio naitaka.

Pia ni kipimo tosha kwamba huyo mwanamke anatoka familia yenye akili.

Familia nyingi sana Africa zinapenda utegemezi kwa jina la ndoa ya mtoto wao
 
Aisee
 
Hizo neti wesi zenu Una uhakika zitasimama hivyo hivyo miaka yote?

Ili zisimame hivi hivi miaka yote lazima wawepo watu wenye akili za kuzisimamia..

Ndio maana wanatafutwa wenye akili
 
๐Ÿ˜‚ Naagiza ukamatwe mara moja kichwa wewe๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Kama una networth 300M na huna mke umtakaye basi una mikosi! Unawatisha watu na ki m300 kisicho weza kukupa furaha ya maisha!
Si bora ungekuwa huna tu mkuu
 
Mleta mada nakukumbusha tu kuwa sifa kuu ya ke ni :-
CHAKO CHAKE, CHAKE CHAKE
 


We una nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ