Vepe Amehlo , anafaa?Habari za wakati huu,
Nahitaji mchumba miaka 23-27, awe mweusi, dini yoyote.
Umri wangu ni miaka 22, mwanafunzi wa Degree.
Hujui raha ya watoto, unamlazimisha afanye unavyotaka. Wazee kama sie tunakulazimisha ufanye tutakayo. Hivyo kwenu watoto ni zari la menthaliMtoto huyo nampeleka wapi
Sijawahi date mtoto πsitarajii kudate mtotoHujui raha ya watoto, unamlazimisha afanye unavyotaka. Wazee kama sie tunakulazimisha ufanye tutakayo. Hivyo kwenu watoto ni zari la menthali
Hatari, achana na vibabu hatuwezi sukuma moto kama mwenye 22 yr. After all hatafuti mpenzi bali mchumba ujue. Vibabu tulishaoa vibibiSijawahi date mtoto πsitarajii kudate mtoto
Nikiwa oβlevel tu boyfriend wangu alikua mkubwa mtu na kazi yake sembuse saizi ππ
Nataka kibabu nile pension
Utapeli aje? Na we juzi umekuja kuweka tangazo lako tichaa wa thekondariKijana smart Kama wewe unabidi kukataa Ndoa ndoa ni utapeli hapa Tanzania tulia ufocus na future yako
Tena daktareee, wee ngoja nikimbie pm chapπ
Napenda vibabu na vibibi vyao hata km wana vijukuu navipenda na vijukuu zaoHatari, achana na vibabu hatuwezi sukuma moto kama mwenye 22 yr. After all hatafuti mpenzi bali mchumba ujue. Vibabu tulishaoa vibibi
Asantekarb
Sawa mlezi ππTena daktareee, wee ngoja nikimbie pm chapπ
π€£π€£π€£ niacheSawa mlezi ππ
Ukiweza haina shidaKubaka inaruhusiwa?
Shenzi wewπππ[mention]Aaliyyah [/mention] [mention]Antonnia [/mention]
Sophy mjomba etu anataka kuoa bhanaShenzi wewπππ