Vepe Amehlo , anafaa?Habari za wakati huu,
Nahitaji mchumba miaka 23-27, awe mweusi, dini yoyote.
Umri wangu ni miaka 22, mwanafunzi wa Degree.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vepe Amehlo , anafaa?Habari za wakati huu,
Nahitaji mchumba miaka 23-27, awe mweusi, dini yoyote.
Umri wangu ni miaka 22, mwanafunzi wa Degree.
Hujui raha ya watoto, unamlazimisha afanye unavyotaka. Wazee kama sie tunakulazimisha ufanye tutakayo. Hivyo kwenu watoto ni zari la menthaliMtoto huyo nampeleka wapi
Sijawahi date mtoto 😂sitarajii kudate mtotoHujui raha ya watoto, unamlazimisha afanye unavyotaka. Wazee kama sie tunakulazimisha ufanye tutakayo. Hivyo kwenu watoto ni zari la menthali
Hatari, achana na vibabu hatuwezi sukuma moto kama mwenye 22 yr. After all hatafuti mpenzi bali mchumba ujue. Vibabu tulishaoa vibibiSijawahi date mtoto 😂sitarajii kudate mtoto
Nikiwa o’level tu boyfriend wangu alikua mkubwa mtu na kazi yake sembuse saizi 😃😃
Nataka kibabu nile pension
Utapeli aje? Na we juzi umekuja kuweka tangazo lako tichaa wa thekondariKijana smart Kama wewe unabidi kukataa Ndoa ndoa ni utapeli hapa Tanzania tulia ufocus na future yako
Tena daktareee, wee ngoja nikimbie pm chap😂
Napenda vibabu na vibibi vyao hata km wana vijukuu navipenda na vijukuu zaoHatari, achana na vibabu hatuwezi sukuma moto kama mwenye 22 yr. After all hatafuti mpenzi bali mchumba ujue. Vibabu tulishaoa vibibi
Asantekarb
Sawa mlezi 😂😂Tena daktareee, wee ngoja nikimbie pm chap😂
🤣🤣🤣 niacheSawa mlezi 😂😂
Ukiweza haina shidaKubaka inaruhusiwa?
Shenzi wew😂😂😂[mention]Aaliyyah [/mention] [mention]Antonnia [/mention]
Sophy mjomba etu anataka kuoa bhanaShenzi wew😂😂😂