Natafuta mchumba baadae awe mke

Natafuta mchumba baadae awe mke

Status
Not open for further replies.
Hujui raha ya watoto, unamlazimisha afanye unavyotaka. Wazee kama sie tunakulazimisha ufanye tutakayo. Hivyo kwenu watoto ni zari la menthali
Sijawahi date mtoto 😂sitarajii kudate mtoto

Nikiwa o’level tu boyfriend wangu alikua mkubwa mtu na kazi yake sembuse saizi 😃😃

Nataka kibabu nile pension
 
Sijawahi date mtoto 😂sitarajii kudate mtoto

Nikiwa o’level tu boyfriend wangu alikua mkubwa mtu na kazi yake sembuse saizi 😃😃

Nataka kibabu nile pension
Hatari, achana na vibabu hatuwezi sukuma moto kama mwenye 22 yr. After all hatafuti mpenzi bali mchumba ujue. Vibabu tulishaoa vibibi
 
Hatari, achana na vibabu hatuwezi sukuma moto kama mwenye 22 yr. After all hatafuti mpenzi bali mchumba ujue. Vibabu tulishaoa vibibi
Napenda vibabu na vibibi vyao hata km wana vijukuu navipenda na vijukuu zao
 
Wewe bado mdogo sana kutafuta mke kwa sasa. Una mambo ya msingi ya kukimbizana nayo kwasasa achana na mahusiano ya Ndoa. Hawa viumbe wamebadilika sana hawana akili za kujenga maisha wana akili za kujitafutia mahitaji yao so sana sana utapata wa kukufuja tu.

Cha kufanya wewe tafuta wa kut*mba hadi uzoee kukaliwa uchi ndipo baadae utapata. Tafuta pesa jenga maisha yako wewe kama wewe, na ukomae na kutafuta pesa tu.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
🤣🤣🤣 hizi trending, sikujua kama kuna jukwaa la love connect
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom