Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Mchele kilo elf 3500 ngoja kwanza nimalize kilimo 😀Sophy mjomba etu anataka kuoa bhana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchele kilo elf 3500 ngoja kwanza nimalize kilimo 😀Sophy mjomba etu anataka kuoa bhana
Vyuo vilivyojaa mabinti , wote hajawaonaHuyo yupo insecured ndio maana katanguliza neno mwanafunzi wa degree ..hajiamin
Na hapo atapata mpenzi anaeipenda degree yake na sio yeye
Sasa degree na mke inahusikaje
Napenda vibabu na vibibi vyao hata km wana vijukuu navipenda na vijukuu zao
Mjomba wa Sinza au Madale[emoji38][emoji38][emoji38]
Huyo hataweza kunidekeza bana na huu ushangazi wangu nataka mtu kama mjomba yako my wangu
Mjomba wa Sinza au Madale
Ngoja nimpigie[emoji38][emoji38][emoji38]wa sinza muhuni nataka wa Madale kule kwa kina daimondi
😀😀😀😀😀marhaba[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Shikamoo dada[emoji119]
Nakazia msimamo hapaKijana smart Kama wewe unabidi kukataa Ndoa ndoa ni utapeli hapa Tanzania tulia ufocus na future yako
Mkuu kwanini unatafuta mke wakati mke anakuja mwenyewe tu, mke hatafutwi hapa utaishia kupata mpigaji au mshangazi ukunyonye damu mwishowe utoke na GPA ndogo.lkn ndoa ni jambo jema ata dini zenu zinafundsha ivo