Natafuta mchumba baadae awe mke

Natafuta mchumba baadae awe mke

Status
Not open for further replies.
Huyo yupo insecured ndio maana katanguliza neno mwanafunzi wa degree ..hajiamin
Na hapo atapata mpenzi anaeipenda degree yake na sio yeye


Sasa degree na mke inahusikaje
Vyuo vilivyojaa mabinti , wote hajawaona


Mhh
 
[emoji23][emoji23] mnaosaka wachumba mwaka huu mna moto. Mpaka picha.

. Darlin Lenie mje niwatoe kwa wazee

[emoji38][emoji38][emoji38]
Huyo hataweza kunidekeza bana na huu ushangazi wangu nataka mtu kama mjomba yako my wangu
 
lkn ndoa ni jambo jema ata dini zenu zinafundsha ivo
Mkuu kwanini unatafuta mke wakati mke anakuja mwenyewe tu, mke hatafutwi hapa utaishia kupata mpigaji au mshangazi ukunyonye damu mwishowe utoke na GPA ndogo.

Focus na masomo Mkuu, akija aje huko huko kwenye focus yako.

Ni ushauri tu lakini bila kusahau KATAA NDOA
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom