Bashite mimi
Senior Member
- May 2, 2017
- 113
- 62
hahahaha haya maneno[emoji12] [emoji5] [emoji5] [emoji5]Asante saana ndugu kwa kutuombea ubarikio kwa bwana.
Nami nisiwe mnyimi wa fadhila nikutakie la kher upate mme wa hitaji la moyo wako. Akujaze furaha mpaka uhisi upo peponi. Akujaze mapene yasiyo haba na penzi kinda kinda lililojawa papatio kama lile la jogoo na mtetea. Asante.
[emoji12][emoji12]hahahaha haya maneno[emoji12] [emoji5] [emoji5] [emoji5]
[emoji3] [emoji3] umenena vzurMungu akusaidie kwenye hitaji lako ila naona ungesema tu mwanaume mkristo kuliko awe n Roman Catholic
umri ukishaenda msiweke masharti mengi jamaan mnawakimbiza wanaume
Nawe ubarikiwe upate hitaj lako ,ila hata kama mtu yu tayar japo kapungukiwa na vigezo baadhi fikiria mara ya pilNatafuta mchumba badae awe mme,na mungu akibariki tufunge ndoa kanisani, sifa awe mkatoliki,yaani Romani Catholic, asiwe na mtoto, asiwe aliwahi kuoa, awe na miaka 32 na kuendelea, anayejiheshim na kujitambua nafasi yake(sio sharobaro) mwenye hofu ya mungu,na anayetambua maana ya familia, aliye serious na utayari aje PM, naomba usije kunidhihaki au kujaribu tafadhali niko seriousMungu awabariki sn
kunuswa papuchi ndio kupoje babu halaf natamani nikuite jina ambalo haulipendiMi nadhani angepata penzi kama la beberu na mbuzi mee.... Au unadhani yeye hapendi kunuswa papuchi??
More details about youNatafuta mchumba badae awe mme,na mungu akibariki tufunge ndoa kanisani, sifa awe mkatoliki,yaani Romani Catholic, asiwe na mtoto, asiwe aliwahi kuoa, awe na miaka 32 na kuendelea, anayejiheshim na kujitambua nafasi yake(sio sharobaro) mwenye hofu ya mungu,na anayetambua maana ya familia, aliye serious na utayari aje PM, naomba usije kunidhihaki au kujaribu tafadhali niko seriousMungu awabariki sn
Hahahaha acha zako mkuu...kunuswa papuchi ndio kupoje babu halaf natamani nikuite jina ambalo haulipendi
kuna siku kuna mdada alikuita hivyo ukamwambie niite babu tu we hujui mm naitwa babu
niache zipi babuHahahaha acha zako mkuu...
Si za hayo majina ya kichochezi bhanaaaniache zipi babu
ahhhaha mdada alikuita mkuu babu ukamwambia hilo jina silipendi hujui mm naitwa babu ila we mzee sio mzimaSi za hayo majina ya kichochezi bhanaaa
Kweli mi sio mzima. Nimetahiriwa vizuri kabisa...ahhhaha mdada alikuita mkuu babu ukamwambia hilo jina silipendi hujui mm naitwa babu ila we mzee sio mzima
Check na KALLISTO,mwaweza kuyajenga maana naona anasifa uzitakazo.Natafuta mchumba badae awe mme,na mungu akibariki tufunge ndoa kanisani, sifa awe mkatoliki,yaani Romani Catholic, asiwe na mtoto, asiwe aliwahi kuoa, awe na miaka 32 na kuendelea, anayejiheshim na kujitambua nafasi yake(sio sharobaro) mwenye hofu ya mungu,na anayetambua maana ya familia, aliye serious na utayari aje PM, naomba usije kunidhihaki au kujaribu tafadhali niko seriousMungu awabariki sn