Natafuta mchumba ikitupendeza tufike tuwe mume na mke

Natafuta mchumba ikitupendeza tufike tuwe mume na mke

Joined
Aug 4, 2019
Posts
20
Reaction score
56
Mimi ni mdada miaka 28,muajiriwa taasisi binafsi.
Rangi yangu kama ya Hamisa obeto.Umbo langu kama la Haika Navy kenzo(flat fulani hivi lakini halichoshi kuangalia wala hulikinai)
Urefu ni size Haika pia.

Dini yangu ni Roman catholic. Kwa hapa Dar ninaishi Kijitonyama.

Ni mtu ninaejitambua wa kisasa ninajua dunia inaendaje. Nina ishi mwenyewe.

Ninaemuhitaji awe anajielewa napenda mwanaume ambae amesimama ana kipato cha kueleweka maana na mie uchumi si haba.

Awe anaishi Dar, awe na miaka 30 na kuendelea.
Mengine tujajuzana zaidi.

Naimani humu ni kwa watu makini sana.
 
Mchumba niko hapa... nna vigezo vyote....

Yaani hata kesho tufunge ndoa...

Nmevutiwa sana na hiyo ID...

Ila sijasoma ulichoandika....

Please naomba unifikirie...
 
Back
Top Bottom