Natafuta mchumba ikitupendeza tufike tuwe mume na mke

Natafuta mchumba ikitupendeza tufike tuwe mume na mke

Mimi ni mdada miaka 28,muajiriwa taasisi binafsi.
Rangi yangu kama ya Hamisa mobeto.
Umbo langu kama la Haika Navy kenzo(flat fulani hivi lakini halichoshi kuangalia wala hulikinai)
Urefu ni size Haika pia. Dini yangu ni Roman catholic. Kwa hapa Dar ninaishi Kijitonyama.
Ni mtu ninaejitambua wa kisasa ninajua dunia inaendaje.
Nina ishi mwenyewe.
Ninaemuhitaji awe anajielewa napenda mwanaume ambae amesimama ana kipato cha kueleweka maana na mie uchumi si haba.
Awe anaishi Dar, awe na miaka 30 na kuendelea.
Mengine tujajuzana zaidi.
Naimani humu ni kwa watu makini sana.
Mimi nipo tayari, karibu PM kwa mazungumzo zaidi
 
Ww binti sisi wengine unatuchanganya
Haika Navy kenzo ndiyo Nani?
Hamisa mobeto ndiyo Nani?
 
Ungeji describe jinsi ulivyo bila kujifananisha na wengine, kama maelezo yanakushinda tuma picha


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom