Natafuta mchumba ikitupendeza tufike tuwe mume na mke

Mimi ni mdada miaka 28,muajiriwa taasisi binafsi.
Rangi yangu kama ya Hamisa mobeto.
Umbo langu kama la Haika Navy kenzo(flat fulani hivi lakini halichoshi kuangalia wala hulikinai)
Urefu ni size Haika pia. Dini yangu ni Roman catholic. Kwa hapa Dar ninaishi Kijitonyama.
Ni mtu ninaejitambua wa kisasa ninajua dunia inaendaje.
Nina ishi mwenyewe.
Ninaemuhitaji awe anajielewa napenda mwanaume ambae amesimama ana kipato cha kueleweka maana na mie uchumi si haba.
Awe anaishi Dar, awe na miaka 30 na kuendelea.
Mengine tujajuzana zaidi.
Naimani humu ni kwa watu makini sana.
nimekuja pm aujibu mbona...au uyo unaemtafuta anakuja ndotoni??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipo tayari kabila langu nabahani ninatoka ktk kisiwa chenye marashi ya harufu ya karafuu na mm kigezo changu nataka ubadili dini ili tufungendoa kihalali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni mdada miaka 28,muajiriwa taasisi binafsi.
Rangi yangu kama ya Hamisa mobeto.
Umbo langu kama la Haika Navy kenzo(flat fulani hivi lakini halichoshi kuangalia wala hulikinai)
Urefu ni size Haika pia. Dini yangu ni Roman catholic. Kwa hapa Dar ninaishi Kijitonyama.
Ni mtu ninaejitambua wa kisasa ninajua dunia inaendaje.
Nina ishi mwenyewe.
Ninaemuhitaji awe anajielewa napenda mwanaume ambae amesimama ana kipato cha kueleweka maana na mie uchumi si haba.
Awe anaishi Dar, awe na miaka 30 na kuendelea.
Mengine tujajuzana zaidi.
Naimani humu ni kwa watu makini sana.

Utakubali kishi tjkila bata tuu bila kuwa na watoto?
 
Achana na

Achana na hawa mbwiga wa JamiiForums, wasio jua kubebisha, njo kwa vijana tunao jua mapenzi ni nini, haiwezekani mtoto mzuri unatangaza nia alafu wanakuchukulia poa poa
Kwa uandishi wako huu, hata akija ajue kabisa anakuja kwa mhuni flani hivi au mvulana ambae bado hajajitambua/ hajajisimamia.

Sorry lakin n maoni yangu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni mdada miaka 28,muajiriwa taasisi binafsi.
Rangi yangu kama ya Hamisa mobeto.
Umbo langu kama la Haika Navy kenzo(flat fulani hivi lakini halichoshi kuangalia wala hulikinai)
Urefu ni size Haika pia. Dini yangu ni Roman catholic. Kwa hapa Dar ninaishi Kijitonyama.
Ni mtu ninaejitambua wa kisasa ninajua dunia inaendaje.
Nina ishi mwenyewe.
Ninaemuhitaji awe anajielewa napenda mwanaume ambae amesimama ana kipato cha kueleweka maana na mie uchumi si haba.
Awe anaishi Dar, awe na miaka 30 na kuendelea.
Mengine tujajuzana zaidi.
Naimani humu ni kwa watu makini sana.
Umri wangu ni miaka 32 ninaishi mbezi beach ni engeer ktk mifumo ya mawasiliano umbo langu ni wastan sio mwembamba wala mrefu rangi black kama utahitaji mazungumzo zaid tafadha karibu dm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni mdada miaka 28,muajiriwa taasisi binafsi.
Rangi yangu kama ya Hamisa mobeto.
Umbo langu kama la Haika Navy kenzo(flat fulani hivi lakini halichoshi kuangalia wala hulikinai)
Urefu ni size Haika pia. Dini yangu ni Roman catholic. Kwa hapa Dar ninaishi Kijitonyama.
Ni mtu ninaejitambua wa kisasa ninajua dunia inaendaje.
Nina ishi mwenyewe.
Ninaemuhitaji awe anajielewa napenda mwanaume ambae amesimama ana kipato cha kueleweka maana na mie uchumi si haba.
Awe anaishi Dar, awe na miaka 30 na kuendelea.
Mengine tujajuzana zaidi.
Naimani humu ni kwa watu makini sana.
Mh ujinga mtupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom