Natafuta mchumba ikitupendeza tufike tuwe mume na mke

Karibu kwangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umepata tayari
Karibu inbox

Sent from my vivo X21 using Tapatalk
 
Endelea kusubir utampata tu, kikubwa usiwe na haraka
 
Wachumba wanatafutwa jirani na unakoishi na makanisani/misikitini lakini huku mitandaoni utaoa pressure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sijui kwa nini huwa nawaogopa wanawake wenye pesa🤔
 
Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS
Hii content yako imenifanya nicheke sana usiku huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…