Natafuta mchumba ikitupendeza tufike tuwe mume na mke

Wenye kipato kinachoeleweka hawatafuti wanatafutwa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeshakuwa single mother au bado hauna mtoto katika historia yako
Sent using Jamii Forums mobile app
 
wasomi hamjawahi kukosa vigezo kwa mwanaume mnaemtaka
 
Utaratibu ni kama ifuatavyo:-
1: Nawa mikono mara kwa mara kwa maji tiririka na sabuni (si chini ya sec 20) au tumia kitakasa mikono.
2: Epuka mambo yafuatayo:-
A:Kujishika usoni
B:Kushikana mikono na watu.
C:Kukaa sehemu zenye mikusanyiko.
3:Baki nyumbani kama huna safari ya lazima
4:Endapo utalazimika kutoka nyumbani vaa barakoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…