Natafuta mchumba mgumba (asiyeweza kupata mtoto)

Watu wanachukulia Ndoa ni kama kitu fulani tu cha kawaida,Kwa mtu aliye makini na hii kitu alafu anatafuta mwenzi mtandaoni,Ndo !maana Ndoa za Siku hizi hazidumu, mmmmh eti unafuta mwenzi mtandaoni tubadilike bado nakazia na kusisitiza IMPOSSIBLE ,Ndo maana ishawakuta baadhi wakatafuta vitu vya ajabu mpaka leo wanajuta.
 
wewe umedumu miaka mingapi kwenye ndoa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi tufanye tumekuelewa, haya tuambie mke au mume wa ndoa anapaswa atafutwe wapi??
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaokutana mtaani hawawezi kuachana sio?.
 
Kwa hyo unaushauri nini kwa jamii ?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nijuavyo Mimi ni kuwa mgumba HUZAA ila Tasa ndo hawezi kupata mtoto kamwe. So kama weye mgumba na wataka mgumba mwenzio jua kuwa mwaweza kupata watoto through IVF ama njia nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa baada ya kuandika ukoko pale juu,bora ungekaa kimya kuliko kuendelea kuandika hayo unayoita mawazo yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…