1 to 10
Senior Member
- Apr 24, 2020
- 155
- 210
Braza iwapo tu wakijijini ana smartfone kwa ajili ya mitandao sasa wewe unazungumzia yupi sijui ambae hatakuwa kwenye mitandao sana sana atakudanganya tu mungu ndo huongoza yote hayo kuna watu wameoa sehemu wanyodhani ni salama baadae anageuka kuwa mbwa mwitu kuliko kikubwa ni commitment ya mtuWatu wanachukulia Ndoa ni kama kitu fulani tu cha kawaida,Kwa mtu aliye makini na hii kitu alafu anatafuta mwenzi mtandaoni,Ndo !maana Ndoa za Siku hizi hazidumu, mmmmh eti unafuta mwenzi mtandaoni tubadilike bado nakazia na kusisitiza IMPOSSIBLE ,Ndo maana ishawakuta baadhi wakatafuta vitu vya ajabu mpaka leo wanajuta.