Natafuta mchumba mgumba (asiyeweza kupata mtoto)

Natafuta mchumba mgumba (asiyeweza kupata mtoto)

Dah! Miaka 28 [emoji24][emoji24][emoji24] pole sana kaka. utapata hitaji lako.
Habari

Ni kijana wa miaka 28
Kutokana na matatizo Yangu(kiafya)sitoweza kuzalisha kwa njia ya kawaida.
Ukiacha tatizo hilo,Niko mzima wa afya na mchapa kazi.
Nimejiajiri
Ni msomi,mstaarabu na mvumilivu.
Kama mtoto tunaweza kuasili kama tukikubaliana.

Sifa zako
Uwe mgumba au uwe tayari tuishi bila kuzaa
Usiwe mnene sana
Uwe unajishughulisha
Rangi yoyote

Maswali mengine njoo DM siwezi kuandika kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanachukulia Ndoa ni kama kitu fulani tu cha kawaida,Kwa mtu aliye makini na hii kitu alafu anatafuta mwenzi mtandaoni,Ndo !maana Ndoa za Siku hizi hazidumu, mmmmh eti unafuta mwenzi mtandaoni tubadilike bado nakazia na kusisitiza IMPOSSIBLE ,Ndo maana ishawakuta baadhi wakatafuta vitu vya ajabu mpaka leo wanajuta.
Unajua maisha jinsi yalivyo bana, Leo hii unakutana na mwanamke au mwanaume mnatongoza mtaani, alafu unakuta Ana account , Facebook, twitter , Instagram, WhatsApp, telegram, JF n.k
Sasa huyo anakua na tofauti gani na utakae mpatia humu, mitandao imeleta wepesi Wa kila kitu mkuu, cha msingi badilika hakuna utofauti wowote , maisha ndio haya haya mkuu,
Nyie ndio wale mnataka vitu rahisi viwe vigumu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hongera sana kwa kuwa positve
mm ningekuwa ni wewe ningesafiri sana, kula bata sanaaa, ningejitoa sanaa kwa watoto wasiojiweza kwa kuwasomesha na nikiona sasa nahitaji nitulie natafuta eneo zuri nje ya mji lenye uoto wa asili naadupt mtoto mmoja au wawili ambao ni hawa vichanga wanaokotwa, ningeajiri maid wa kuwatunza na kijana wa shamba. Nawapa majina yangu, na kama hali ya fedha itaruhusu ningejenga shule au academy yenye jina langu then nasubiri wakati wangu wa kulala moja kwa moja.
 
Kuna Tukio moja lishatokea huku Mwanza kuna mdada alipata mwenzi kupitia mitandaoni kumbe alikuwa sio binadamj,kilichomkuta kwa kweli ni kumuonea huruma.narudia tena mpinge msipinge au mtukane au msitukane kutafuta mwenzi mtandaoni ni kutojielewa vyovyote mtakavyo reply, hiyo ndo sindano
 
but nadhani umekata tamaa mapema sana.....ya kuzaa.....anyway Mungu akubariki ukpate wa kufanana na wewe
 
Wasukuma ni washamba sana, including you
Kuna Tukio moja lishatokea huku Mwanza kuna mdada alipata mwenzi kupitia mitandaoni kumbe alikuwa sio binadamj,kilichomkuta kwa kweli ni kumuonea huruma.narudia tena mpinge msipinge au mtukane au msitukane kutafuta mwenzi mtandaoni ni kutojielewa vyovyote mtakavyo reply, hiyo ndo sindano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe una mawazo ya kichawi.
Kuna Tukio moja lishatokea huku Mwanza kuna mdada alipata mwenzi kupitia mitandaoni kumbe alikuwa sio binadamj,kilichomkuta kwa kweli ni kumuonea huruma.narudia tena mpinge msipinge au mtukane au msitukane kutafuta mwenzi mtandaoni ni kutojielewa vyovyote mtakavyo reply, hiyo ndo sindano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hongera sana kwa kuwa positve
mm ningekuwa ni wewe ningesafiri sana, kula bata sanaaa, ningejitoa sanaa kwa watoto wasiojiweza kwa kuwasomesha na nikiona sasa nahitaji nitulie natafuta eneo zuri nje ya mji lenye uoto wa asili naadupt mtoto mmoja au wawili ambao ni hawa vichanga wanaokotwa, ningeajiri maid wa kuwatunza na kijana wa shamba. Nawapa majina yangu, na kama hali ya fedha itaruhusu ningejenga shule au academy yenye jina langu then nasubiri wakati wangu wa kulala moja kwa moja.
Thanks mkuu,natamani hivo
 
Mitandao haina watu.. Ni haohao wa 'mitaani' ndio haohao wa mitandaoni na nguo haohao wa majumbani na kati yao ni ndugu zetu wa karibu kabisa

Jr[emoji769]
Huyu mjamaa nae anataka kusema kuna tabaka la mitandaoni na lingine la makanisani na misikitini? Ni haohao unaokutana nao mskitini/kanisani ndo wako FB Instagram na JF
 
Back
Top Bottom