Natafuta mchumba mgumba (asiyeweza kupata mtoto)

Braza iwapo tu wakijijini ana smartfone kwa ajili ya mitandao sasa wewe unazungumzia yupi sijui ambae hatakuwa kwenye mitandao sana sana atakudanganya tu mungu ndo huongoza yote hayo kuna watu wameoa sehemu wanyodhani ni salama baadae anageuka kuwa mbwa mwitu kuliko kikubwa ni commitment ya mtu
 
Hivi mke wako wakati unampata alikuwa hana axxount yoyote mitandaoni tuanzie hapo na sasa hana account mitandaoni?
 
Hakuna mwanamme mgumba
 
Wewe jamaa unayemkejeli huna busara kabisa. Jamaa kajieleza hali yake,ameeleza namna anavyopata shida kumpata mwenza katika hali ya kawaida lkn kichwa chako ni kigumu kuelewa. Walimu wako wamepata taabu sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…