Natafuta mchumba mwenye lengo la ndoa na kuanzisha familia

Umejiita Madam Boss sasa kwa kujipambanua tu huko ulishakuwa shida........ Siku hizi watu wanahitaji Mwanamke Mwenye Unyenyekevu Mbele za Mungu na Mbele ya Mume .. Mwanamke mwenye kujikweza nani anahitaji hiyo BP.. Sometime they way unavyojiweka ndivyo unavyotafisirika, they way unavyojiita na kujibrand ndivyo unavyotafisirika. Hakuna Mwanaume anayehitaji kupokea matatizo kuwa sehemu ya maisha yake watu wanahitaji Mwanamke Mfariji, Muongozaji , mwenye hofu ya Mungu, Mwenye kujali na kupenda Familia ..

@ madam boss
 
Mbona povu. [emoji23][emoji23][emoji23] linakutoka hivyo
 
Mwanaume miaka 35 huyo ni mume wa mtu au unataka kuwa mke wa pili
 
Asante
 
Hyo miaka ni mingi sana zaid zaid utapata single father[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ukibahatika basi utapata mgane
Afadhali. Ili Maradi awe mzima tu kiafya
 
wanaume wa miaka 35-45 unawajua au unawasikia? bora wa miaka 18
 
hapa kwenye hii miaka sina hakika kama utampata!!

hapa napo umejichanganya bila kujua, unadhani mwanaume mwenye miaka 35+ mwenye pesa kazipata mwenyewe au unatafuta mchepuko!!!
Natafuta mume
 
Haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…