Natafuta mchumba mwenye lengo la ndoa na kuanzisha familia




mrembo,
tupo wengi wenye sifa hizo,
tunaomba na wewe utuletee jambo picha tuweze kukuhakiki.
 
Wanaume, hamuwezi kumsaidia mwanamke mpaka ufanye nae mapenzi?
 
Hakuna mwanamke asiependa kuwa mke wa mtu
 
umenipata bila shuruti
 
Ngoja nijaribu tu
Nilikucrush mda fulani samahani sana mkuu, sasa una bahati kuna jamaa kafungua uzi anatafuta mke anaitwa ngoma mdundo sana mcheki pliz mkuu upate faraja ya moyo wako.
 
Ukikuta Mwanaume Mwenye Umri 35+

Ambaye Hana Mtt Wala Mke Au Hata Hayupo Katika Mahusiano Ambayo Yatapelekea Ndoa Bass Uyo Si Mwanaume Bali Ni Katoon

Mapenz Hayana Umri Kabila Wala Langi

Mapenz Ni Hisia
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Watu walisha bomoa kitambo alafu anasema after ndoa crazy mindset
mpaka hapo bado wanafukunyua tu, ala anakuja kijana wa watu na nia njema eti anaambiwa mpaka ndoa; Hapa ndipo wanaponiachaga hoi hawa viumbe,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…