Zanzibar2014
JF-Expert Member
- Nov 13, 2022
- 743
- 591
- Thread starter
-
- #301
Umekaa sana London hadi umesahau maandishi ya kiswahili na kuyaelewa.Bado haujapata mume?Ndiyo swali langu.
Hamna waume humu na kwa kweli hatuendani kabisa, sipendi maneno mimi.Umekaa sana London hadi umesahau maandishi ya kiswahili na kuyaelewa.Bado haujapata mume?Ndiyo swali langu.
Ahsante saaanaMungu akukumbuke katika hitaji lako ndugu yangu
Kazi kwao mimi niko powa kabisaHaya kazi kwako sasa
Mbona wewe huji, uko sawa lakini ??Njoo PM
Zimejaa za kipumbavuKila Heri , Hope DM imeejaaa
Ila sisi wa landon utuwekee email tutume maombi yetu.
Unafikiria kuwa sijui London muko wengi najua fika lakini mimi sio mtu wa watu saaana.Kila Heri , Hope DM imeejaaa
Ila sisi wa landon utuwekee email tutume maombi yetu.
Halafu chengine nakusikilizeni tu 41, 41, 41 nini,Kila Heri , Hope DM imeejaaa
Ila sisi wa landon utuwekee email tutume maombi yetu.
Lini utakuw unguja?Halafu chengine nakusikilizeni tu 41, 41, 41 nini,
Nikisema leo niende Barking to hapo. Wanzibari wamejaa kibao sichukui hata muda, naolewa na 41 yangu lakini mimi sitaki mtu yoyote ndio maana ninavigezo/vikwazo vyangu. [emoji120][emoji120]
Halafu wanafoka mnooo mimi 41 ndio, ukiniona utafikiri 20! Ndio maana sina papara nakutizameni tu!Kila Heri , Hope DM imeejaaa
Ila sisi wa landon utuwekee email tutume maombi yetu.
41 huna mtoto, kama uko sawa basi hongera sana sana..Halafu wanafoka mnooo mimi 41 ndio, ukiniona utafikiri 20! Ndio maana sina papara nakutizameni tu!
Unguja mwakani inshaaalah, huko ndio usiseme nikitua leo sikosi mume.Lini utakuw unguja?
Lakini nikwambie kitu, kama nitachukuwa Mtanzania ni wa UK mwezangu. Wa huko Tanzania wataniuwa, suwawezi kabisa.Lini utakuw unguja?
insha'Allah natamn nikuwe rafk yako.Unguja mwakani inshaaalah, huko ndio usiseme nikitua leo sikosi mume.
Halafu huku makabila mbali mbali ndio zaidi ndio moja nililoowana lao. Nikitaka kesho sikosi mume mmjo wao.
Ndio maana sasa nikasema nijaribu Watanzania wezangu. Lakini muna kelele nyingi sipendi hamuna ustarabu [emoji120][emoji120]
Kwahyo sisi ni fully depressionLakini nikwambie kitu, kama nitachukuwa Mtanzania ni wa UK mwezangu. Wa huko Tanzania wataniuwa, suwawezi kabisa.
Kama ungekuwa na 20s, tungerudi nyumbani kufunga ndoaLakini nikwambie kitu, kama nitachukuwa Mtanzania ni wa UK mwezangu. Wa huko Tanzania wataniuwa, suwawezi kabisa.
Watanzania wa huku UK nahisi kidogo tutawezana sio wa nyumbani siwawezi hata chembe. Kelele nyingi ππKwahyo sisi ni fully depression
Uko UK ?? Kama uko hapa nitafikiria ππinsha'Allah natamn nikuwe rafk yako.
Sis wa Dar tumeelimik tupo krbu na London ya mwanzaWatanzania wa huku UK nahisi kidogo tutawezana sio wa nyumbani siwawezi hata chembe. Kelele nyingi [emoji120][emoji120]