Natafuta mchumba wa kiume, awe anaishi London

Nipo London ..
Nina miaka 42, nimeshika dini.
Ni muhasibu katika mojawapo ya shirika binafsi.
Hebu tuwasiliane mrembo nijichukulie jiko kiulaini
Subiri usinitanie uyo wewe kwenye picha?? πŸ™πŸ™
 
Nipo London ..
Nina miaka 42, nimeshika dini.
Ni muhasibu katika mojawapo ya shirika binafsi.
Hebu tuwasiliane mrembo nijichukulie jiko kiulaini
Chengine umesoma profile yangu yote?? πŸ™πŸ™
 
Mimi naomba unipokee tu nakuja London mwakani April kwa matembezi ya wiki moja tu, tunaweza juana kuanzia hapo.
 
Wadau hivi huyu manzi alishapataga bwana?
 
Miaka 41 mwanamume asiye na mtoto, labda ungebadili iwe aliyekataa/kutelekeza watoto
 
Utani mwingine unafikirisha, Yaani utafute bwana above 41 asiyekuwa na mtoto tena awe anaishi London kupitia jf??
Hapo London wapo Wazanzibar na Watanzania wenzako kina Makame, Khamis, Hajji na Hamoud ila wana watoto zaid ya 5 ena wengine wamewaacha huko Kwamtipula, Saateni, Chukwani na Mbweni. Hapo London waliobaki wenye umri huo na hawana watoto ni wazee wa upinde.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…