Zanzibar2014
JF-Expert Member
- Nov 13, 2022
- 743
- 591
- Thread starter
-
- #341
MmmmmmππππKwa hiyo umeona wote humu ni akina dada wenye matiti?
JikoNipo London ..
Nina miaka 42, nimeshika dini.
Ni muhasibu katika mojawapo ya shirika binafsi.
Hebu tuwasiliane mrembo nijichukulie jiko kiulaini
Ushamba Fulani π€¦π½ββοΈπ€¦π½ββοΈKwa akili zako hizi hakuna mwanaume utapata hii dunia..
Kwa unaushamba fulani hivi na ulimbukeni. .
Usichukulie serious Sana ujumbe wangu
ReallyNdiyo..tunataka tukukule kwani Ni tatizo?
WowKwa akili zako hizi hakuna mwanaume utapata hii dunia..
Kwa unaushamba fulani hivi na ulimbukeni. .
Usichukulie serious Sana ujumbe wangu
MmmmmmmMimi naomba unipokee tu nakuja London mwakani April kwa matembezi ya wiki moja tu, tunaweza juana kuanzia hapo.
Umesema wewe hayoππππKwa hiyo umeona wote humu ni akina dada wenye matiti?
Utakula naniNdiyo..tunataka tukukule kwani Ni tatizo?
I donβt knowKwahyo sisi ni fully depression
And I did not say that eitherKwahyo sisi ni fully depression
Mmmmmminsha'Allah natamn nikuwe rafk yako.
Saaaana41 huna mtoto, kama uko sawa basi hongera sana sana..
NdioKuna Mzee mmoja mtaani kwetu alikuwa na binti zake vigori wazuri sn,,
Mzee alikuwa mkali sn kwa binti zake.
Hakutaka Mwanaume yeyote asogee nyumbani kwake.
Getini akaandika mbwa mkali hapa
Binti walipofikisha miaka 30 bila ndoa,
Akaandika getini tunauza icream tamu hapa
unatafuta mchumba ukiwa na Miaka 41 bado una vigezo kibao?
Sasa ni muda wa kulegeza masharti.
Hihihihihihi kwa kweli π€£πKuna Mzee mmoja mtaani kwetu alikuwa na binti zake vigori wazuri sn,,
Mzee alikuwa mkali sn kwa binti zake.
Hakutaka Mwanaume yeyote asogee nyumbani kwake.
Getini akaandika mbwa mkali hapa
Binti walipofikisha miaka 30 bila ndoa,
Akaandika getini tunauza icream tamu hapa
unatafuta mchumba ukiwa na Miaka 41 bado una vigezo kibao?
Sasa ni muda wa kulegeza masharti.
Nimecheka mnooo, ahsante saaanaKuna Mzee mmoja mtaani kwetu alikuwa na binti zake vigori wazuri sn,,
Mzee alikuwa mkali sn kwa binti zake.
Hakutaka Mwanaume yeyote asogee nyumbani kwake.
Getini akaandika mbwa mkali hapa
Binti walipofikisha miaka 30 bila ndoa,
Akaandika getini tunauza icream tamu hapa
unatafuta mchumba ukiwa na Miaka 41 bado una vigezo kibao?
Sasa ni muda wa kulegeza masharti.
Legeza masharti mkuu,,tuje inboxNimecheka mnooo, ahsante saaana
HhhhmmmmmmLegeza masharti mkuu,,tuje inbox
Sasa nimeelewa hasira za watu wengine ππ€£Legeza masharti mkuu,,tuje inbox
Huyo wewe hapo juuLegeza masharti mkuu,,tuje inbox