Zanzibar2014
JF-Expert Member
- Nov 13, 2022
- 743
- 591
- Thread starter
-
- #581
Nimemjua hapa mtandaoni tu baada ya siku chache, ndio nina wasi wasi. Na nikauliza atanilipaje kuwa tuko nchi tofauti, hakuwa na jibu sahihi. π³πungempa kwanza.
Kupima imani kishetani hiyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Usiogope kuombwa hela Dada, huyo anakupima Imani ajue kama kweli una mpenda au unataka kumchezea [emoji2957][emoji2957].
Kwa kweli nimemwambia sina baada ya kunitia wasi wasi. Nilimuuliza atanilipaje kuwa tuko nchi tofauti, hakuwa na jibu sahihi. π³πmtaje id yake ili tumkanye aache tabia yake mbaya. mtaje...
Hahaha..............muache mtoa mada apimwe Imani, asije kuwa anampango wa kumchezea Mwanaume mwenzetu π€ͺπππKupima imani kishetani hiyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
mtaje tumjue mana Kuna mmoja alikua natabia Kama hio tulipo mkanya sisi wazee wajukwaa akaachaKwa kweli nimemwambia sina baada ya kunitia wasi wasi. Nilimuuliza atanilipaje kuwa tuko nchi tofauti, hakuwa na jibu sahihi. π³π
Kama watu wengine mnafanyiwa hivi, nimesema muwe na tahadhari pia. ππ
Sio wewe ulioniomba na wala hatujawi kuongea kabisa, kwa kweli hatujuani kabisa. π³πHaya bwana umeamua kuja kunisemea huku dadangu wakati tulikuwa wawili tuπ¬π¬
Ni mimi nilikuwa naomba nauli nikufuate huko londoniSio wewe ulioniomba na wala hatujawi kuongea kabisa. π³π
Sikujui π³πNi mimi nilikuwa naomba nauli nikufuate huko londoni
Inamana wapo wengine humu.mtaje tumjue mana Kuna mmoja alikua natabia Kama hio tulipo mkanya sisi wazee wajukwaa akaacha
Amchezee[emoji3059]Hahaha..............muache mtoa mada apimwe Imani, asije kuwa anampango wa kumchezea Mwanaume mwenzetu [emoji2957][emoji125][emoji125][emoji125]
Pesa nashaka alisikia Bibi kizee π³πWabongo wanaomba mbususu ila huyo mnaijiriiiia kafuata Nini tena
Ashawoo/asewoπ