Natafuta mchumba wa kiume

Natafuta mchumba wa kiume

Mmi ni Dada nina miaka 27 nina mtoto mmoja natafuta mwanaume Wa kujenga nae ndoa sifa zangu mim ni mpole mcha mungu mkalimu pia mwanaume ninae mtaka aweanajitambua mchapa kazi mwenye mapenz ya kweli karibu umri awe na kuanzia 29
Mungu akupe wepesi
 
Uzi kama huu always tuwe makini sana... Hua napata shida sana eti mwanamke anakosa mchumba hadi anakuja JF kutafuta mchumba wakufunga nae ndoa.

Anaweka hadi number zake za simu,bila ya uoga wowote,na sisi wanaume tulivyo mafisi tunaenda inbox tunatoa number za simu.

Jaman sio wote wanaokuja humu kwa gia zakutafuta wachumba mme au mke,matangazo ya kazi,fursa na mambo mengineyo....

Wanaume wenzangu tuwe makini sana na hizi mambo,nilifanya ujinga kwa kwa mtu mmoja wa humu JF,hua najiuliza huyu dada asijekua ni geti jeusi,maana alinipa papuchi mara 4 nikala, ila hadi leo ile number aliyonipa haipo tena hewani,halafu ile account ya JF haipo pia... Duhh huyu dada ananipaga mawazo mazito sana kama lilivyo jina langu

Dada mzuri,mrembo presentable hayupo tena hewani si hapa JF au kwenye number aliyonipa,Dada hana shida ya pesa,anakunywa wine tu,hana papara na maisha,ukimwambia twende sehemu anakuja kwa bills zake... Huyu dada huyu sijui lakini
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sasa mkuu hofu yako nini?
Mzigo si uliuchakata vizuri?
 
Mmi ni Dada nina miaka 27 nina mtoto mmoja natafuta mwanaume Wa kujenga nae ndoa sifa zangu mim ni mpole mcha mungu mkalimu pia mwanaume ninae mtaka aweanajitambua mchapa kazi mwenye mapenz ya kweli karibu umri awe na kuanzia 29

Uliisha pata MME?
Kama
Bado pls ni PM na mm natafuta mke ahamie Mbeya tuanze maisha
 
Natumaini huo mchumba wakiume wenye korido za six parts kiwambaza kilichojaza na self contained wenye manyoya na mustach na maji ndani na nje yakufyatuka fyaaaaa meupe umeshaupata tayari.
 
That is Trouble making
Ndugu yangu haya mambo bana.

Uko na mkeo mmetulia mtu anaanza mara kuongea ongea kwenye simu ukiuliza unaambiwa ni baba wa mtoto. Mara anaanza kuja na kwako kumuangalia mwanae. Utamfukuza?
 
Mmi ni Dada nina miaka 27 nina mtoto mmoja natafuta mwanaume Wa kujenga nae ndoa sifa zangu mim ni mpole mcha mungu mkalimu pia mwanaume ninae mtaka aweanajitambua mchapa kazi mwenye mapenz ya kweli karibu umri awe na kuanzia 29
Kwenye Ac niwe na sh.ngapi?
 
Ndugu yangu haya mambo bana.

Uko na mkeo mmetulia mtu anaanza mara kuongea ongea kwenye simu ukiuliza unaambiwa ni baba wa mtoto. Mara anaanza kuja na kwako kumuangalia mwanae. Utamfukuza?
niliwahi kudet na single mother, baba mtoto alikua anasumbua sana, na vitisho juu nkaona isiwe tabu nkakata ticket Shabiby nkasepa.
 
Back
Top Bottom