Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu akupe wepesiMmi ni Dada nina miaka 27 nina mtoto mmoja natafuta mwanaume Wa kujenga nae ndoa sifa zangu mim ni mpole mcha mungu mkalimu pia mwanaume ninae mtaka aweanajitambua mchapa kazi mwenye mapenz ya kweli karibu umri awe na kuanzia 29
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Uzi kama huu always tuwe makini sana... Hua napata shida sana eti mwanamke anakosa mchumba hadi anakuja JF kutafuta mchumba wakufunga nae ndoa.
Anaweka hadi number zake za simu,bila ya uoga wowote,na sisi wanaume tulivyo mafisi tunaenda inbox tunatoa number za simu.
Jaman sio wote wanaokuja humu kwa gia zakutafuta wachumba mme au mke,matangazo ya kazi,fursa na mambo mengineyo....
Wanaume wenzangu tuwe makini sana na hizi mambo,nilifanya ujinga kwa kwa mtu mmoja wa humu JF,hua najiuliza huyu dada asijekua ni geti jeusi,maana alinipa papuchi mara 4 nikala, ila hadi leo ile number aliyonipa haipo tena hewani,halafu ile account ya JF haipo pia... Duhh huyu dada ananipaga mawazo mazito sana kama lilivyo jina langu
Dada mzuri,mrembo presentable hayupo tena hewani si hapa JF au kwenye number aliyonipa,Dada hana shida ya pesa,anakunywa wine tu,hana papara na maisha,ukimwambia twende sehemu anakuja kwa bills zake... Huyu dada huyu sijui lakini
karbu, njoo pmHamna sio Mimi
Mmi ni Dada nina miaka 27 nina mtoto mmoja natafuta mwanaume Wa kujenga nae ndoa sifa zangu mim ni mpole mcha mungu mkalimu pia mwanaume ninae mtaka aweanajitambua mchapa kazi mwenye mapenz ya kweli karibu umri awe na kuanzia 29
hiyo avatar hapo ndio wewe?
Ndugu yangu haya mambo bana.
Uko na mkeo mmetulia mtu anaanza mara kuongea ongea kwenye simu ukiuliza unaambiwa ni baba wa mtoto. Mara anaanza kuja na kwako kumuangalia mwanae. Utamfukuza?
Kwenye Ac niwe na sh.ngapi?Mmi ni Dada nina miaka 27 nina mtoto mmoja natafuta mwanaume Wa kujenga nae ndoa sifa zangu mim ni mpole mcha mungu mkalimu pia mwanaume ninae mtaka aweanajitambua mchapa kazi mwenye mapenz ya kweli karibu umri awe na kuanzia 29
😂😂Mwanao ana umri gani? Nina kaka yangu hajaoa.
niliwahi kudet na single mother, baba mtoto alikua anasumbua sana, na vitisho juu nkaona isiwe tabu nkakata ticket Shabiby nkasepa.Ndugu yangu haya mambo bana.
Uko na mkeo mmetulia mtu anaanza mara kuongea ongea kwenye simu ukiuliza unaambiwa ni baba wa mtoto. Mara anaanza kuja na kwako kumuangalia mwanae. Utamfukuza?
Kitu gani kilipelekea mkaachana nani muda gani umepita unahisi mpenzi mpya hatafanya makosa yaliopelekea kuachan na mpendwa wako?Tuliachana
Kuwa makini usije anza kulia...[emoji23][emoji23][emoji23]Nilishapata