Natafuta mchumba wa kuwa naye serious nimechoka kuwa na mume wa mtu naitaji wangu

Yanaweza kukutokea ya songa
Kwenye nyimbo yake ya picha
 
Ngoja nitunze akiba ya maneno kama nilivyo kuweka spare kulee...... ulipo dondokea kwenye penzi la mume wa mtu.
 
....usije mjini wewe... utachunwa mpk utambae🙄🙄
Nawashangaa mnapo m-beza kijana kwa ujasiri wa kutupia picha hapa jamvini[emoji57], wakati siajabu ninyi mnao ogopa kutupia picha zinu hapa live ndio mnakua wabovu huko MP mkikesha hata kupiga magoti kwa wadada wa humu.
Utawekaje picha humu ,c hmfuate pm,ww ni ngosha kwelikweli
Kijana nampongeza sana kwa kutokua muoga na pia kufanya kitendo cha kijasiri na kuonyesha ni kiasi gani anauhitaji wa kile ambacho ninyi mnakibeza
...yani wewe ndio bonge la kiazi, eti umeweka poz!😀😀😀
 
ni kweli ila ata jina lako lina ashiria mengi na ya ukweli
 
Dah!, umezoea waume za watu utawaweza ambao hawajawahi kutembea na wake za watu?. Hao waume za watu ndio size yako kubali wakuoe uwe mke mdogo!, bata ule na wengine alafu uzee umalizie na wengine haiwezekanii!!
uzee upi tena
 
okey dear usijali
 
Ukiweka ka photo itatusaidia kukufahamu zaidi maana sifa ulizotaja hazitoshi kukufahamu vzuri japo kwa muonekano wa nje...
 
Chige kama unahisi unafaa basi nichek private then tuongee yetu..samahani kwa vigezo vya kitoto
 
You are right about it all....pia the fact kua hauko into a rush made me like you even more....upo tofauti gnyt chige
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…