Natafuta mchumba

Mama usitubanie fursa wenzio, hebu sema fasta niwahi AM kabla haijawa PM


Teh!, labda ya coco beach...🙂

Halafu wewe atoto sehemu zako za kutoka zitakuwa za faranga nyingi kwa hiyo wala huhitaji X-pozha. Unaipata karibu kila siku.
 
Khaaaah mchumba acha ubahiri, si ndio utapata hasira za kuzisaka zaidi
Duh wewe na timu yako ving'ang'anizi! Si nishawaambia msonge >>>>>>>>>>>
 
Teh!, labda ya coco beach...🙂

Halafu wewe atoto sehemu zako za kutoka zitakuwa za faranga nyingi kwa hiyo wala huhitaji X-pozha. Unaipata karibu kila siku.
Hahahaaaaa! Sasa wewe utaniharibia nikose mchumba
 
Reactions: kui
We hujui utamu wa mihogo eeh, iwekwe na kachumbali, acha kabisa.


atoto kwa hivi vigezo vya RRondo itabidi kuachana na mambo ya mihogo, magimbi na chai sukari debe. Huu ni mwendo wa kuwa petit.
Salad kwa sana halafu bila dressing, coz dressing nyingi zina mafuta. So yea!...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…