Natafuta mchumba

Siamini macho yangu. Ndio kusema sina changu? Lazma naota. Kweli sometime mashauzi siyo kabisa. Naona tuwivu x wangu amepata mfariji
 
Hahahaaaaa!! Mtoto una kumbukumbu we sikuwezi, hebu ondoka usijenipotezea bahati[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Reactions: kui
Utakulaje majani kama ng'ombe[emoji134] watu wa mujini wana balaa hawa!
 
Hahahaaaaa!! Mtoto una kumbukumbu we sikuwezi, hebu ondoka usijenipotezea bahati[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Hahaha bahati ipi tena unayoitafuta? Hiyo habari yako na kui mbona ilinipita sasa jamani? Nisimulieni basi kidogo
 
Baada ya kukosa vigezo naona juhudi zote mnaziweka kwenye kukatisha wenzenu tamaa.......Mimi nimeweka vigezo vinne tu, mbona kuna mabinti humu wanaweka gazeti la vigezo?!!! Mkuki kwa nguruwe............
We hapa sibanduki hadi vigezo vigeuke aisee!
 
Ndio maana nilitoa kigezo cha exposure kama yako....hajui pale coco nakula mihogo na ma-bilionare wenzagu Wahindi!
Kwani mie nilikataa basi mchumba? Najaribu tu kupunguza jam.
 
Hahaha Ukiona mtu anakata tamaa ujue vigezo hana, mwenye vigezo anawahi Pm . Sisi vigezo hatuna, nani kasema au unatubembeleza kiujanja ili tuapply? Hivyo vigezo mbona vya kawaida tena ukiweza ongezea tu, sisi tumeover qualify buana
[emoji8] [emoji8] [emoji8]
Piteni hivi >>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Hebu acha fujo bwana, mchumba inatakiwa awe mnyenyekevu.
 
Kwani sio hiyo alokuwa anamaanisha[emoji134] [emoji134] basi nikajiona nimeelewaaaa mwenyewe[emoji24]
Hahhaah kweli wewe x-pozha huna, hiyo dressing ya kwenye vyakula eti. Sasa sijui chakula unakivalisha nguo, ngachoka mie
 
Siamini macho yangu. Ndio kusema sina changu? Lazma naota. Kweli sometime mashauzi siyo kabisa. Naona tuwivu x wangu amepata mfariji
Hivi ujue viboko vitakuhusu we mtoto[emoji57] [emoji57]
 
Hahhaah kweli wewe x-pozha huna, hiyo dressing ya kwenye vyakula eti. Sasa sijui chakula unakivalisha nguo, ngachoka mie
Maeee! Imbombo ngafu[emoji134]
No wonder jina lako limekatwa, una bichwa gumu khaaa. Mchumba ashapatikana, kazi yako ni kuandaa tu ngoma za kisukuma
Hahahaaaa! Uwiiii Mentor fanya fasta basi, ila tafadhali sana punguza vigezo angalau tu iwe mpenda hela pekee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…