Natafuta mchumba

[emoji134] [emoji134] [emoji134] Sifa zimegoma, nimekosa mume msukuma hivi hiviiii, nawe uwe unanipeleka hata mikumi nikapate sijui ndio wanaita eksipozha, khaaah!
Hahaha kwani kasema ekisiposhza ya wapi? Me nahisi hata ya matombo inafaa tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Natafuta mchumba baadae awe mke wangu.

Awe na sifa zifuatazo;
1.Mzuri kama Heaven on Earth
2.Tabia nzuri kama Heaven Sent
3.Awe na exposure kama kui
4.Awe amesoma na awe na akili kama Karucee

Mwenye sifa hizi zote ani PM nimpe wasifu wangu.
ili ukubaliwe mwanamume toa sifa zako hapa haijalishi kama unasura ya hovyohovyo. ukiwa na mambo safi kama DAIMONDI aaaaaa utawapata wa kumwaga
 
Teh teh..We nenda tu ukapige story
Miongoni mwa wateja nisiokuwa na wasiwasi nao ni huyu..Hana madhara teh..Usiwe na wasiwasi

Mbona hapa mnanichanganya, madhara gani tena kwenye biashara?
 
ili ukubaliwe mwanamume toa sifa zako hapa haijalishi kama unasura ya hovyohovyo. ukiwa na mambo safi kama DAIMONDI aaaaaa utawapata wa kumwaga
Wewe kama una vigezo hivyo njoo PM
 
[emoji134] [emoji134] [emoji134] Sifa zimegoma, nimekosa mume msukuma hivi hiviiii, nawe uwe unanipeleka hata mikumi nikapate sijui ndio wanaita eksipozha, khaaah!
Wewe mfuate housegirl kule >>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…