Sorry this user does not exist..Nipe direction, maana sikuoni mahali kokote.
Ndio nini hichi KBH Umeniblock nini..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sorry this user does not exist..Nipe direction, maana sikuoni mahali kokote.
Hahaha kwani kasema ekisiposhza ya wapi? Me nahisi hata ya matombo inafaa tu[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji134] [emoji134] [emoji134] Sifa zimegoma, nimekosa mume msukuma hivi hiviiii, nawe uwe unanipeleka hata mikumi nikapate sijui ndio wanaita eksipozha, khaaah!
ili ukubaliwe mwanamume toa sifa zako hapa haijalishi kama unasura ya hovyohovyo. ukiwa na mambo safi kama DAIMONDI aaaaaa utawapata wa kumwagaNatafuta mchumba baadae awe mke wangu.
Awe na sifa zifuatazo;
1.Mzuri kama Heaven on Earth
2.Tabia nzuri kama Heaven Sent
3.Awe na exposure kama kui
4.Awe amesoma na awe na akili kama Karucee
Mwenye sifa hizi zote ani PM nimpe wasifu wangu.
Hahaha daddy mwenyewe aliniambia hataki mwaka upite bila bila, otherwise ananiozesha kwa nguvu. So bora nichangamkeDaddy Kaboom anajua kama unataka kuacha duka uende PM?
Eeeh kwangu tayari mbona, fanya tu kupitaBasi sawa, Jumamosi ntapita kupima, hope Kaboom ameshakufungulia pa kwako
Kazi ya kumlinda huyu mtt imeshanishindaAnataka kumfata RRONDO, sasa dukani anamwacha nani?
Hahaha daddy unaua band. Khaaa si ntakosa kote sasa[emoji39] [emoji39] [emoji39]Kazi ya kumlinda huyu mtt imeshanishinda
cc Paulo Sergio De Souz
Teh teh..Kumbe unataka kote..Basi wakutanishe wagawane majukumuHahaha daddy unaua band. Khaaa si ntakosa kote sasa[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Hahaha watagoma banaTeh teh..Kumbe unataka kote..Basi wakutanishe wagawane majukumu
Haya bana..Hii kesi wataamua wenyewe..Ngoja nikuachie uhuruHahaha watagoma bana
Teh teh..We nenda tu ukapige story
Miongoni mwa wateja nisiokuwa na wasiwasi nao ni huyu..Hana madhara teh..Usiwe na wasiwasi