New Designer
JF-Expert Member
- Aug 8, 2025
- 551
- 879
Kila la kheri mkuuHabari wakuu,
About
Umri wangu 25, location dar maeneo ya airport, nipo single sina mtoto, mrefu kiasi, mwembamba kiasi, sio mweupe au mweusi, na najitambua.
mimi nime jiajiri kwenye masuala ya programming developer.
Sio mlevii na situmii vitu kama bangi, mimi ni mkristo lakini sina kanisa kokote naabudu.
Lifestyle
Napendelea vitu kama ukimya, music, tour, movie, kula, kupika, games, kutoka out, kuvaa kwa fashion smart, mazoezi, ect.
Sasa basi naamini kuna mdada mzuri mzuri ana lifestyle kama yangu humu na yupo mpweke sasa basi tunaweza kuyajenga tukiona vipi tutafunga ndoa unajua haya maisha mafupi haya.
Tuwasiliane tafadhali
0681564388
Unaweza kupika vyakula ganiHabari wakuu,

vipi naweza kukutumia inbox?Tuone picha
Vyakula vyote vya bongo napika mkuu, ubwaubwa, ugali, maharage, matembele, samaki, kuku, chai ectUnaweza kupika vyakula gani
Asante sana mkuuKila la kheri mkuu
Wa aina yako hua wanapata micharuko yaani cherehani cha mtoto.Napendelea vitu kama ukimya,
Biriani?Vyakula vyote vya bongo napika mkuu, ubwaubwa, ugali, maharage, matembele, samaki, kuku, chai ect
Minaona... lawama zote ziende kwenye hiki chama aiseeeHabari wakuu,
About
Umri wangu 25, location dar maeneo ya airport, nipo single sina mtoto, mrefu kiasi, mwembamba kiasi, sio mweupe au mweusi, na najitambua.
mimi nime jiajiri kwenye masuala ya programming developer.
Sio mlevii na situmii vitu kama bangi, mimi ni mkristo lakini sina kanisa kokote naabudu.
Lifestyle
Napendelea vitu kama ukimya, music, tour, movie, kula, kupika, games, kutoka out, kuvaa kwa fashion smart, mazoezi, ect.
Sasa basi naamini kuna mdada mzuri mzuri ana lifestyle kama yangu humu na yupo mpweke sasa basi tunaweza kuyajenga tukiona vipi tutafunga ndoa unajua haya maisha mafupi haya.
Tuwasiliane tafadhali
0681564388
Subhanallah.....πBiriani?
Ndo hii ile ID uliyosema? π
Mungu anakuona mkuu...ππTuone picha
Blood faken ππ¦Ndo hii ile ID uliyosema? π
Mzee wangu umepona mguu Sasa unakata mitaa.Mungu mkubwa.Subhanallah.....π
Naona Umeamua kuja kivingine hii Id yako wanijua ni jobless na kataa ndoa pro max ππ