Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 17,518
- 20,492
Hebu tueleze samaki Makange anapikwaje?Vyakula vyote vya bongo napika mkuu, ubwaubwa, ugali, maharage, matembele, samaki, kuku, chai ect
Hebu tueleze samaki Makange anapikwaje?Vyakula vyote vya bongo napika mkuu, ubwaubwa, ugali, maharage, matembele, samaki, kuku, chai ect
Si husiki na ilo boss muulizeni mtoa madaAu Mwachiluwi kaamua kutufanya sie watoto
🤣🤣Mungu anakuona mkuu...😝😝
😂😂😂😂 Mzee wa mapishi ya kitimoto roast!Au Mwachiluwi kaamua kutufanya sie watoto
Moja ya hobby Yako lakini mkuuSi husiki na ilo boss muulizeni mtoa mada
Ni kweli kabisaMoja ya hobby Yako lakini mkuu
Relax, mbona umeogopa sana....Si husiki na ilo boss muulizeni mtoa mada
Ana kataa kama vile kakamatwa na pembe za ndovuRelax, mbona umeogopa sana....
Sitak mamb ya dr yanikute 😀Relax, mbona umeogopa sana....
Wakija wengi nipunguzie fam ndo mambo yetu hayo 😂😂😂Blood faken 😂🦅
Sijui nicheke au nilie... 😂🙌Naona Umeamua kuja kivingine hii Id yako wanijua ni jobless na kataa ndoa pro max 😂😂
MAZOEZI yana enda vyema 😊 😃 ukitaka mtu wa MAZOEZI nipo..Ile ni xxxx 124288 binafsi nimeisave
Naomba nisiulizwe ni ya kazi gani 😂
Mbona umeibuka na habari ya mazoezi hapa, una uhusiano na hiyo namba??? 😁MAZOEZI yana enda vyema 😊 😃 ukitaka mtu wa MAZOEZI nipo..
😳 AM 4 REAL
Mr therapist karudi mjini, kuna sehemu nili ona ana ambiwa tuna kujua 😂😂Mbona umeibuka na habari ya mazoezi hapa, una uhusiano na hiyo namba??? 😁
Eve acha kua kama ccm 🤣🤣 Mimi nakumbuka uziii wako.Mbona umeibuka na habari ya mazoezi hapa, una uhusiano na hiyo namba??? 😁
Umeninyima madiko diko kumbe unajua kupika kwa kiwango cha SGR 🤓🤓Mr therapist karudi mjini, kuna sehemu nili ona ana ambiwa tuna kujua 😂😂
Mbona my therapist 😂😂😂😂Mr therapist karudi mjini, kuna sehemu nili ona ana ambiwa tuna kujua 😂😂
Uzi gani tena mie sikumbuki chochote 😂😂Eve acha kua kama ccm 🤣🤣 Mimi nakumbuka uziii wako.
Ngoja nikuache maana nipo HIGH KONYAGIIII imepanda kwenye medulla oblongata 😳😳😳
Wewe unatumia kinywajii changamshii 🥃 🥃?? Jibu TUENDELEEE tulipo ishiaaaUzi gani tena mie sikumbuki chochote 😂😂