Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Nakunywa apple punchWewe unatumia kinywajii changamshii 🥃 🥃?? Jibu TUENDELEEE tulipo ishiaaa

kila la kheri mkuuNa Mimi nahitaji mwenye kariba ya kubeti ili tusaidiane kuchambua mikeka
Hiyo 88 nikajua ni yeye..!!Ile ni xxxx 124288 binafsi nimeisave
Naomba nisiulizwe ni ya kazi gani 😂
Nikihitaji psychological support nampigiaHiyo 88 nikajua ni yeye..!!
Kwahiyo umesave namba umtafute 😹😹
Mpigie atupe muongozo wa misaada yake tunaipata vipi?? 🤣
Umenikumbusha dr mmoja nilikuwa naumwa flu akawa anaforce anipime kizazi eti labda nna kansa..!! 😹😹😹Nikihitaji psychological support nampigia
Hivi mtu mkimya naye anafaa apate mpenzi mkimya? Haitakuwa shida? Au ndiyo vizuri?Habari wakuu,
About
Umri wangu 25, location dar maeneo ya airport, nipo single sina mtoto, mrefu kiasi, mwembamba kiasi, sio mweupe au mweusi, na najitambua.
mimi nime jiajiri kwenye masuala ya programming developer.
Sio mlevii na situmii vitu kama bangi, mimi ni mkristo lakini sina kanisa kokote naabudu.
Lifestyle
Napendelea vitu kama ukimya, music, tour, movie, kula, kupika, games, kutoka out, kuvaa kwa fashion smart, mazoezi, ect.
Sasa basi naamini kuna mdada mzuri mzuri ana lifestyle kama yangu humu na yupo mpweke sasa basi tunaweza kuyajenga tukiona vipi tutafunga ndoa unajua haya maisha mafupi haya.
Tuwasiliane tafadhali
0681564388
Show unaiwezaaa? Maana nakuona kama mdogo vile jamanHabari wakuu,