Hujasema kama una hela. Una hela??Wanawake wanaangalia mkwanja. Hizo sifa zingine baki nazo mwenyeweHabari wakuu,
About
Umri wangu 25, location dar maeneo ya airport, nipo single sina mtoto, mrefu kiasi, mwembamba kiasi, sio mweupe au mweusi, na najitambua.
mimi nime jiajiri kwenye masuala ya programming developer.
Sio mlevii na situmii vitu kama bangi, mimi ni mkristo lakini sina kanisa kokote naabudu.
Lifestyle
Napendelea vitu kama ukimya, music, tour, movie, kula, kupika, games, kutoka out, kuvaa kwa fashion smart, mazoezi, ect.
Sasa basi naamini kuna mdada mzuri mzuri ana lifestyle kama yangu humu na yupo mpweke sasa basi tunaweza kuyajenga tukiona vipi tutafunga ndoa unajua haya maisha mafupi haya.
Tuwasiliane tafadhali
0681564388
Swali muhimu sana, anaweza akapata mume anaependa chakula alichopikaUnaweza kupika vyakula gani
Series na season zinawaharibu sana vijanaHabari wakuu,
About
Umri wangu 25, location dar maeneo ya airport, nipo single sina mtoto, mrefu kiasi, mwembamba kiasi, sio mweupe au mweusi, na najitambua.
mimi nime jiajiri kwenye masuala ya programming developer.
Sio mlevii na situmii vitu kama bangi, mimi ni mkristo lakini sina kanisa kokote naabudu.
Lifestyle
Napendelea vitu kama ukimya, music, tour, movie, kula, kupika, games, kutoka out, kuvaa kwa fashion smart, mazoezi, ect.
Sasa basi naamini kuna mdada mzuri mzuri ana lifestyle kama yangu humu na yupo mpweke sasa basi tunaweza kuyajenga tukiona vipi tutafunga ndoa unajua haya maisha mafupi haya.
Tuwasiliane tafadhali
0681564388
Hizo hobby zake zime nishtua, nika sema nime andika uzi saa ngapiππNaona Umeamua kuja kivingine hii Id yako wanijua ni jobless na kataa ndoa pro max ππ
Mkuu umeenda Mbali Sana πSwali muhimu sana, anaweza akapata mume anaependa chakula alichopika
Kudadadeki wallahi π¦Subhanallah.....π
Kwambaa?πSeries na season zinawaharibu sana vijana
Tofaut yako na yeye mwenzako anawaza ndoa wewe kataa ndoa pro maxππ
π€£π€£π€£π€£Minaona... lawama zote ziende kwenye hiki chama aiseee
Faza unakabia kwa juu sanaππHabari wakuu,
About
Umri wangu 25, location dar maeneo ya airport, nipo single sina mtoto, mrefu kiasi, mwembamba kiasi, sio mweupe au mweusi, na najitambua.
mimi nime jiajiri kwenye masuala ya programming developer.
Sio mlevii na situmii vitu kama bangi, mimi ni mkristo lakini sina kanisa kokote naabudu.
Lifestyle
Napendelea vitu kama ukimya, music, tour, movie, kula, kupika, games, kutoka out, kuvaa kwa fashion smart, mazoezi, ect.
Sasa basi naamini kuna mdada mzuri mzuri ana lifestyle kama yangu humu na yupo mpweke sasa basi tunaweza kuyajenga tukiona vipi tutafunga ndoa unajua haya maisha mafupi haya.
Tuwasiliane tafadhali
0681564388
Tuma tuvipi naweza kukutumia inbox?
Hapo mbona sijaona SKANKA NA POMBEEE..Habari wakuu,
About
Umri wangu 25, location dar maeneo ya airport, nipo single sina mtoto, mrefu kiasi, mwembamba kiasi, sio mweupe au mweusi, na najitambua.
mimi nime jiajiri kwenye masuala ya programming developer.
Sio mlevii na situmii vitu kama bangi, mimi ni mkristo lakini sina kanisa kokote naabudu.
Lifestyle
Napendelea vitu kama ukimya, music, tour, movie, kula, kupika, games, kutoka out, kuvaa kwa fashion smart, mazoezi, ect.
Sasa basi naamini kuna mdada mzuri mzuri ana lifestyle kama yangu humu na yupo mpweke sasa basi tunaweza kuyajenga tukiona vipi tutafunga ndoa unajua haya maisha mafupi haya.
Tuwasiliane tafadhali
0681564388
Ile ni xxxx 124288 binafsi nimeisaveNamba mbona km ya dr manyau nyau waungwana πΉπΉπΉ
Kupatwa kwa mdada! Ina maana huko unakopitia hujawahi kuona? Au na wewe domo zege kama mimi?ππHabari wakuu,
About
Umri wangu 25, location dar maeneo ya airport, nipo single sina mtoto, mrefu kiasi, mwembamba kiasi, sio mweupe au mweusi, na najitambua.
mimi nime jiajiri kwenye masuala ya programming developer.
Sio mlevii na situmii vitu kama bangi, mimi ni mkristo lakini sina kanisa kokote naabudu.
Lifestyle
Napendelea vitu kama ukimya, music, tour, movie, kula, kupika, games, kutoka out, kuvaa kwa fashion smart, mazoezi, ect.
Sasa basi naamini kuna mdada mzuri mzuri ana lifestyle kama yangu humu na yupo mpweke sasa basi tunaweza kuyajenga tukiona vipi tutafunga ndoa unajua haya maisha mafupi haya.
Tuwasiliane tafadhali
0681564388
Au Mwachiluwi kaamua kutufanya sie watotoMwanaume una hobby ya kupika?