Natafuta mdada ambaye jimbo lipo wazi mwenye lifestyle kama hii yangu

Ile ni xxxx 124288 binafsi nimeisave

Naomba nisiulizwe ni ya kazi gani πŸ˜‚
Hiyo 88 nikajua ni yeye..!!
Kwahiyo umesave namba umtafute 😹😹
Mpigie atupe muongozo wa misaada yake tunaipata vipi?? 🀣
 
Nikihitaji psychological support nampigia
Umenikumbusha dr mmoja nilikuwa naumwa flu akawa anaforce anipime kizazi eti labda nna kansa..!! 😹😹😹

Sasa wewe jiandae atakutibu vyote mahi 🀣
 
Hivi mtu mkimya naye anafaa apate mpenzi mkimya? Haitakuwa shida? Au ndiyo vizuri?
 
Show unaiwezaaa? Maana nakuona kama mdogo vile jaman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…