Kwani paroko ndo wako perfect? Au kikipitiwa na hao deacons ndo kinakuwa kitakatifu? Hata huo mfano wa youth iliyokosewa, upo sehemu moja, ambayo nayo walikosea. Kuna mmoja alitaka kukusitiri kwenye fasihi, lakini umejiumbua kwa mambo mawili. La kwanza, kusema kwamba hayo maneno yanatumika hasa huko EU kunaondoa dhana kwamba uliyakosea kwa makusudi. La pili, kwa aina ya vitabu unavyoviandika, kukosea neno kwenye cover hakumaanishi ubobevu. Labda kama soko la vitabu vyako ni nduguzo na rafikizo. Anyway, they're your books, and so your ..amn business