Acha kudhalilisha seminari kuu, unategemea watu wengine wanapata picha gani kama anayejiita shemasi hatumii busara kutoa majibu hata kama mengine ni ya kejeli? Hii ni sehemu waliomo watu wa kila aina na kila dini, jifunze kufikisha ujumbe kwa njia ya unyenyekevu.