Natafuta Meneja wa kunisimamia katika kazi zangu

Natafuta Meneja wa kunisimamia katika kazi zangu

Ni kweli lakini pia mwandishi wa fasihi ana ruhusa ya kuvunja sarufi ya lugha ili kukidhi alichokikusudia.

Pia mwandishi anaweza kuvunja sarufi ya lugha ili kuonesha mvurugano au mkanganyiko katika jamii yake,mfano kitabu cha The beutiful ones are not yet born,mwandishi kaandika the beautyful ones instead of beautiful,
Mmmh!
Kuvunja taratibu za kisarufi ni kwenye ushairi ndiyo inaruhusiwa. Moja ya upekee wa wa ushairi "poetry" ni huo. To break grammatical rules of language.

Eg. "Forward they go" badala ya they go forward.
Namuna badala ya namna

Moreover; A title in literature ('n other writings) carry an important part of the message to be conveyed by the author to the audience.

Sidhani kama ni sahihi kuandaa kazi na kuiwasilisha bila kufanya cross checking based on the writer's intention.

Above All.
To write something is an art.
 
Ni kweli lakini pia mwandishi wa fasihi ana ruhusa ya kuvunja sarufi ya lugha ili kukidhi alichokikusudia.

Pia mwandishi anaweza kuvunja sarufi ya lugha ili kuonesha mvurugano au mkanganyiko katika jamii yake,mfano kitabu cha The beutiful ones are not yet born,mwandishi kaandika the beautyful ones instead of beautiful,
Endelea kujielimisha zaidi kuhusu poetic licence, na wakati huohuo, hilo jalada katengeneza kwa kutumia AI, ndiyo maana kuna hizo typos.
 
Ametumia AI. Hakuna jalada hapo. 😀
1000078493.jpg
 
Duuuh! Kweli bado kunatatizo sana hasa kwenye upande wa ujuaji nimekwambia kabla hujaja kusema kuna typing errors jiridhishe kwanza nenda google kaangalie uliza na kwa watu mimi sio chizi et book cover tu ikosewe .. nadhani ungekuwa mwandishi au msomaji wa vitabu usingeendelea kun'gan'gana na hii kitu asante
Kun'gan'gana ni kitu gani, Shemasi?

Na jina lako linaandikwa Pascal ama Pa sca l?
 
Sasa kama unaandika kitu kinaeleweka Kwa wachache ti hivyo vitabu vitauzika kweli?
Sarufi na Misimu haifanani, kuna muitalia mmoja amehitimu Degree ya Kiswahili Chuo kimoja HUKO Italy alisema akiingia mtaani Kiswahili cha mtaani hakiwezi kinamshinda yeye anakifahamu kile cha kitabuni TU
 
Back
Top Bottom