Natafuta Meneja wa kunisimamia katika kazi zangu

Natafuta Meneja wa kunisimamia katika kazi zangu

hasira za Umasikini wako usikufanye uje uwavae watu ambao hatuhusiki.. ndio nimetoa and nimekuzidi kila kitu kuanzia elimu hadi maisha...... Diamond,davido na wasanii wote wakubwa wanajiweza ila wanahitaji muongozo wa management...... # ukijiona una IQ ndogo usijihushe na matopiki makubwa kama haya unaaibisha ukoo wako#
Ungekuwa sio masikini usingekuja hapa kutafuta manager..
 
Ungekuwa sio masikini usingekuja hapa kutafuta manager..
Sidhani kama kuna shemasi hapo. Na kama ni kweli labda siyo wa Wakatoliki. Labda ni wa kwa Mzee wa Upako, Mwingira, Kapola na Mwamposa. Sad!
Unakuja ki makabayo unataka ni deal na wewe ki mungu mungu? Fungua ubongo shenzi
 
Ah we brazaa umechapia bhana kubali kuelekezwa .. af usikute anaekulekeza anataka aone kama unashaurika then akubali kuwa meneja wako, so ukikaza fuvu mapema hv, means utasumbua kwenye malipo😁🏃
 
Shemasi katika ubora wako ulio tukuka.
Unakuja ki makabayo unataka ni deal na wewe ki mungu mungu? Fungua ubongo shenzi
Screenshot_20240529_080817_Instagram Lite.jpg
 
Back
Top Bottom